Elections 2010 Nani kama Jakaya Kikwete kwa maendeleo?

its-real-bajaj1.jpg
 
001.jp_1.jpg

Soma post ya Acid hapo juu na utajua kwa nini hii picha imewekwa hapa
 
Eti anaomba wananchi wamchague miaka mingine mitano ili shule zote zijazwe waalimu!
 
Eeeehh bwana wee, Mzungu mweusi. Utafikiri Mhaya vile (Wahaya samanani)... hihihiiiiii :)

mwa.jpg

Hawajui nguo za Shamba zikoje jamani? Kasheshe kwelikweli hapa Tanzania......

Rais+Jakaya+Mrisho+Kikwete+akipanda+mti+wa+kumbukumbu+katika+viwanja+vya+mahama+ya+Mwanzo+huko+Kibutuka+Liwale+juzi.JPG

Wewe sikonge embu tukutane nje baada ya kipindi kwa ajili ya fight ya karne..... nani amekuambia ututaje wahaya hapo juu .... teh teh teh

Huyu Mwamvita ana genes kibao za wahutu kuliko wahaya ... mtizamo wangu
 
kwa hiyo unataka kutuambia kuwa marais waliopita walileta maendeleo ila JK ndio imeyaondoa au? Tatizo hapa ni kuwa kauli mbio ya mh. Jk ya maisha bora kwa kila mtanzania ilieleweka vibaya. watu walidhani watamiminiwa mipesa na vyakula mdomoni kama makinda ya ndege bila kufanya kazi. Ndio maana akabadili kauli mbio kuwa nguvu zaidi, kasi zaidi na ari zaidi (yaani watu wafanye kazi kwa nguvu zaidi, kasi zaidi na ari zaidi).
 
Bwa a haha ha ha
 
Stop abusing us!!! don't you know that we are the NSHOMERE of this country.
We can never never make such stupidity. We broke the record by producing the First Doctor by then it was Tanganyika when we had not gotten our independence, the first Pilot was a NSHOMERE and many other experts who are in abroad and others serving our country. So give us some respect. Infact, the NSHOMERE are the best when it comes in beautifying themselves.
Eeeehh bwana wee, Mzungu mweusi. Utafikiri Mhaya vile (Wahaya samanani)... hihihiiiiii :)

mwa.jpg

Hawajui nguo za Shamba zikoje jamani? Kasheshe kwelikweli hapa Tanzania......

Rais+Jakaya+Mrisho+Kikwete+akipanda+mti+wa+kumbukumbu+katika+viwanja+vya+mahama+ya+Mwanzo+huko+Kibutuka+Liwale+juzi.JPG
 
aliepewa kipaji kwa uwezo wa rabuka

kuwasha taa kwa maji na utambi ukawaka

........

nyny fitna zenu hazisaidiiiii
 
Back
Top Bottom