Elections 2010 Nani kama Jakaya Kikwete kwa maendeleo?

Maji safi ya kunywa kwa kila mtu:

Poverty_child_water_Tanzania_1_jpg.jpg

nakuona malaria sugu ...!
 
Na anakaguwa hadi ujenzi wa kitu kama hiki....

1.JPG

Look at him haoni hata haya!!!

Utasikia ".......sasaaa kilio chenu tumekisia....bla bla blah....tutajenga nyumba za kutosha mkituongezea miaka 5"
Hatudanganyiki!!!
 
Tanzania_mothers_459847artw.jpg


Maisha bado magumu

YANI KUSEMA UKWELI ROHO INAUMA....! SERIOUSLY ..!

hivi kweli toyota V8 moja haimalizi katatizo haya..? 200million car!!!!!!!!!!

halafu ajabu ajabu WANAWEKE WENGI NDO WANAIPIGIA KURA CCM..! WAKE - UP...............! VOTE CHADEMA
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom