Nani kama baba......!!!

Michael Amon

JF-Expert Member
Dec 22, 2008
8,775
3,610
Pichani hapo ni Young Master na mwanae mgongoni wakielekea sokoni.

580698_371510432885352_100000791940063_1004268_1681190306_n.jpg
 
kwa kweli hakuna,lol ila wa namna hio wachache wengi washindaji baa tu halafu wanategemea wakirudi nyumbani kila kitu mswano....
 
@Young_Master Mbona baba mwenyewe anamtesa mtoto wake kwenye jua kali la mchana hapo nyumbani? Itabidi baba huyu ashitakiwe Mahakamani kwa kumtesa mwanawe.

Mkuu huku bongo hii ni kawaida sana wala hakuna mtu wa kukushangaa.
 
Huyu uyakuta alitelekezewa mtoto maana kwa afrika ni nadra kweli
 
Huyu uyakuta alitelekezewa mtoto maana kwa afrika ni nadra kweli

Sio hivyo shine. niliamua tu kumsaidia wife maana nampenda sana na sipendi kumuona akiteseka wakati mimi nipo kwa ajili yake. Sijamuoa ili aje kuwa kijakazi.
 
Back
Top Bottom