Nani bingwa kati ya madaktari hawa watatu?

Manywele.

Member
Nov 25, 2011
25
3
Madaktari bingwa kutoka tanzania,china na ujerumani walikutana kuelezea mafanikio ktk nchi zao. Akaanza daktari wa ujerumani akasema kwetu alizaliwa mtoto hana miguu tukamuwekea ya bandia na sasa ni mwanariadha maarufu na anamedani tatu za dhahabu, dr.kutoka china akasema kwetu alizaliwa mtoto hana mikono tukamuwekea ya bandia na sasa ni mcheza karate mkubwa. Ilipofika zamu ya dr. Kutoka tanzania yeye alianza kucheka na kusema kwa dharau Nyie wote hamjafanya kitu. sisi kwetu alizaliwa mtoto maeneo bagamoyo akiwa hana kichwa tukamuekea boga na sasa ndio raisi wa nchi fulani. Nani zaidi yao hapa wana jf?
 
Daaah! Hahahahahahahaaaa...

Hv magamba huchungulia humu kweli?? Dk wa tz ni kiboko! JK akisoma hii lazima alie!
 
Back
Top Bottom