Nani atakuwa Mwenyekiti wa CCM Taifa endapo Dr. Magufuli atashindwa Urais wa Tanzania?

Lowassa kapata sehemu tu wakujifarijia
Lakni IKULU asahau
Nahayo madeni kwa wale matajili zake ukawa mtamsaidia kulipa maana hatokuwa raisi na hela marafiki zake ndo wamesha anza kudai na ndoo maana kaamua aende makanisani akaombe kura
Chezea hela za watu wewe

Yeye mwenyewe anajua lowasa na ndo maana anajikita kwenye majimbo ys ubunge lkn yeye kama yeye ni hewatu,
 
...kuanzia October 25 mwaka huu ccm itabaki kwenye jumba la makumbusho,kama huamini subiri, ccm maslahi, wapiga dili wote,na waliokuwa watii kwa sababu ya rais wataanzisha vijiwe vyao....

Mnajipa moyo lkn ukweli mnaujua na ajira zetu za madodoki ya fisadi lowasa zinakoma ili mafuguli awake ajira rasmi
 
CCM tangu kuanzishwa kwake imekuwa na desturi ya kuongozwa na Mwenyekiti wa Taifa ambaye ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Jambo hilo limetokea kwakuwa CCM imekuwa ikishinda kwenye uchaguzi na kutoa Rais.

Hayati Mwalimu Nyerere alikuwa Rais na Mwenyekiti wa CCM Taifa. Mzee Ali Hassan Mwinyi alikuwa Rais na Mwenyekiti wa CCM Taifa. Utamaduni na utaratibu huo ulimhusu pia Rais Mstaafu Mzee Benjamin Mkapa. Hata sasa,Rais Jakaya Kikwete ni Mwenyekiti wa CCM Taifa.

Uenyekiti wa Rais Kikwete unakoma mwaka 2017 kwakuwa alichaguliwa mwaka 2012 kwa mara ya pili ya miaka mitano. Sasa,uenyekiti wa CCM Taifa utakuwaje au nani atakuwa Mwenyekiti endapo Dr. John Magufuli atashindwa kwenye Urais hapo Oktoba 25?

kwa hapo baada ya october itakuwa hamna hata ya haja ya mwenyekiti maana tutaizika rasm 25 Oct mungu akipenda inshaalah
 
sijui kwa nini mnajiuliza sana hili swali.... si atachaguliwa atakayeomba na wanachama wa chama husika wakaona anafaa kuliko wengine?

mmezoea mno kupanga matokeo bhanaa
 
Baada ya oktoba CCM kinakufa rasmi kama KANU.... Wengi wa wanachama wa CCM ni wanafiki watajiunga Ukawa

Hata kama EL atashinda sioni uwezekano wa yy kutangazwa kuwa rais. Labda tuingie kwenye machafuko, kinyume na hapo Magufuli atatangazwa rais bila kujali box la kura kama litamkataa.
 
Magufuli ameshindwa kuwapa ajira mahawara zake wa UDSM Watanzania ndio atawaweza?

Kwan Ulisikia Magufuli Alikua Kwenye Wizara Ya Ajira Na Maendeleo Ya Vijana?Af Mbona Lowassa Alikua Wizara Ya Kupambana Na Umaskin Na Wazir Mkuu Lakn Alishndwa Kufanya Lolote Ataweza Sasa Hv Akiwa Rais?
 
CCM tangu kuanzishwa kwake imekuwa na desturi ya kuongozwa na Mwenyekiti wa Taifa ambaye ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Jambo hilo limetokea kwakuwa CCM imekuwa ikishinda kwenye uchaguzi na kutoa Rais.

Hayati Mwalimu Nyerere alikuwa Rais na Mwenyekiti wa CCM Taifa. Mzee Ali Hassan Mwinyi alikuwa Rais na Mwenyekiti wa CCM Taifa. Utamaduni na utaratibu huo ulimhusu pia Rais Mstaafu Mzee Benjamin Mkapa. Hata sasa,Rais Jakaya Kikwete ni Mwenyekiti wa CCM Taifa.

Uenyekiti wa Rais Kikwete unakoma mwaka 2017 kwakuwa alichaguliwa mwaka 2012 kwa mara ya pili ya miaka mitano. Sasa,uenyekiti wa CCM Taifa utakuwaje au nani atakuwa Mwenyekiti endapo Dr. John Magufuli atashindwa kwenye Urais hapo Oktoba 25?
Nani atakuw Baba Yangu Baba akifa??
 
Kiufupi ukiwa are not serious kwenda Ikulu. Mnmchagua Duni eti awe makamu wa rais...

Mtu mwenyewe hana hata mvuto...bado sana ukiwa.
 
CCM tangu kuanzishwa kwake imekuwa na desturi ya kuongozwa na Mwenyekiti wa Taifa ambaye ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Jambo hilo limetokea kwakuwa CCM imekuwa ikishinda kwenye uchaguzi na kutoa Rais.

Hayati Mwalimu Nyerere alikuwa Rais na Mwenyekiti wa CCM Taifa. Mzee Ali Hassan Mwinyi alikuwa Rais na Mwenyekiti wa CCM Taifa. Utamaduni na utaratibu huo ulimhusu pia Rais Mstaafu Mzee Benjamin Mkapa. Hata sasa,Rais Jakaya Kikwete ni Mwenyekiti wa CCM Taifa.

Uenyekiti wa Rais Kikwete unakoma mwaka 2017 kwakuwa alichaguliwa mwaka 2012 kwa mara ya pili ya miaka mitano. Sasa,uenyekiti wa CCM Taifa utakuwaje au nani atakuwa Mwenyekiti endapo Dr. John Magufuli atashindwa kwenye Urais hapo Oktoba 25?

huna akili ya kufikiri wewe na utaendelea kushika pembe wenzio wanakamua. magufuli ikulu moja hiyo huyu mwizi mwenzio lowasa anadilishe nyumba yake aliyokodisha ubalozi wa south africa iwe ikulu akakae kwani magogoni hatoshi hata chembe ni bora babu yako akakae pale kuliko lowasa na ukome kabisa.
 
Fisiemu lazima isambaratike na kufa kifo cha mende ikiwa ndembendembe kabisa.Rangi ya kijani itabaki katika majani tu!
 
CCM tangu kuanzishwa kwake imekuwa na desturi ya kuongozwa na Mwenyekiti wa Taifa ambaye ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Jambo hilo limetokea kwakuwa CCM imekuwa ikishinda kwenye uchaguzi na kutoa Rais.

Hayati Mwalimu Nyerere alikuwa Rais na Mwenyekiti wa CCM Taifa. Mzee Ali Hassan Mwinyi alikuwa Rais na Mwenyekiti wa CCM Taifa. Utamaduni na utaratibu huo ulimhusu pia Rais Mstaafu Mzee Benjamin Mkapa. Hata sasa,Rais Jakaya Kikwete ni Mwenyekiti wa CCM Taifa.

Uenyekiti wa Rais Kikwete unakoma mwaka 2017 kwakuwa alichaguliwa mwaka 2012 kwa mara ya pili ya miaka mitano. Sasa,uenyekiti wa CCM Taifa utakuwaje au nani atakuwa Mwenyekiti endapo Dr. John Magufuli atashindwa kwenye Urais hapo Oktoba 25?

Nimeipenda hii, inainekana demokrasia ipo ccm kwa ukawa labda mtu ajiuzuru kwa hasira kama lipumba alivyofanya, chadema labda familia iamue,tlp ,udp nccr ndio yale yale. Mm nnaona swali lingekuwa wenyeviti wa ukawa ni lini wataruhusu demokrasia ya kweli ndani ya vyama vyao? ingekaa poa sana.
 
huna akili ya kufikiri wewe na utaendelea kushika pembe wenzio wanakamua. magufuli ikulu moja hiyo huyu mwizi mwenzio lowasa anadilishe nyumba yake aliyokodisha ubalozi wa south africa iwe ikulu akakae kwani magogoni hatoshi hata chembe ni bora babu yako akakae pale kuliko lowasa na ukome kabisa.

Una uelewa mdogo sana. Halafu waoga wa demokrasia wote wapo kama wewe. Wanalazimisha wasio CCM wawe upinzani hasa CHADEMA. Bure kabisa
 
sawa ndgu wewe usiye mwoga wa demokrasia tuambie uchaguz wa mwenyekiti wa chadema utafanyika lin?na anaongoza kwa miaka mingap kulingana na katiba yenu?
 
Back
Top Bottom