stevoh JF-Expert Member Dec 5, 2011 2,921 1,104 Jun 16, 2012 #1 hivi mwizi akamwoa mchawi alafu wakazaa mtoto ambaye ni kahaba nani atabaki usiku nyumbani?
Heart JF-Expert Member Nov 29, 2011 2,673 1,704 Jun 16, 2012 #2 Wataanza kupeana zamu za kutoka usiku..then maisha yataenda!
Akagando JF-Expert Member May 24, 2012 533 116 Jun 16, 2012 #5 Mama na Baba watasimama km viongozi itabidi mtoto abaki.
King’asti Platinum Member Nov 26, 2009 27,823 24,781 Jun 16, 2012 #6 Huyo kahaba ataanza kudate mchungaji wataombewa familia nzima afu watabadilika.
Erotica JF-Expert Member Apr 24, 2012 2,513 1,735 Jun 16, 2012 #7 Itabidi abaki tu kahaba. afanyie kazi nyumbani. dau kwa wateja iongezwe sabb yeye ndie analipa lodge. teh teh aboreshe kazi yake atafute wateja kwa njia ya fb/jf n.k
Itabidi abaki tu kahaba. afanyie kazi nyumbani. dau kwa wateja iongezwe sabb yeye ndie analipa lodge. teh teh aboreshe kazi yake atafute wateja kwa njia ya fb/jf n.k
CUTE JF-Expert Member Mar 5, 2012 1,230 591 Jun 16, 2012 #8 mende,kunguni,mbwa,kuku,nyau,na mlinz kama watakua nao basi
M Mmwaminifu JF-Expert Member Oct 15, 2010 1,129 302 Jun 16, 2012 #9 CUTE said: mende,kunguni,mbwa,kuku,nyau,na mlinz kama watakua nao basi Click to expand... Nadhani huu ulinzi unatosha sana
CUTE said: mende,kunguni,mbwa,kuku,nyau,na mlinz kama watakua nao basi Click to expand... Nadhani huu ulinzi unatosha sana