Nani anayefaidi zaidi ya mwingine?

Jf for kristsaizi muko mbeke mtu kauliza mnamnyari nini kosa lake??mimi naona angeweja katika jukwaa la wakubwa ingesaundi!ila kuna mantinki katika majambozi ninani anafaidi?kwani wapo baadhi ujijali wao nakuwaacha wenza wao wakiwa njiani!!sasa hapo unaweza kuona wapi kuna ushindani!jamani vaeni mwanvuli wa great thinker!!be the great thinker!
 
balaa! Nadhani ni rahisi kujua umri wake. Haya maswali zamani yalikuwa yanaulizwa na watoto wa form two. Siku hizi yanaulizwa na watoto wa darasa la sita. Watoto walio darasa la sita kama alianza darasa la kwanza akikwa na miaka saba leo hii atakuwa na miaka mingapi?

Born 13yrs past
 
no, mkuu, yanaulizwa na wa chuo kikuu..mjibuni mwenzenu!
 
Back
Top Bottom