Nani anaye mpa jeuri sheikh ponda?

malinda

Senior Member
Oct 20, 2012
196
32
kwa jinsi anavyo endesha harakati zake, inawezekana kabisa kuna watu wapo nyuma yake, wanampa sapoti, wana JF hebu tujuzane, ni nani anaye mpa jeuri huyu she ponda?
 
innuendo vipi, leo umekunywa supu ya mawe?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom