Nani anaweza kuniazima bunduki? Nina dharula

platozoom

JF-Expert Member
Jan 24, 2012
9,363
11,149
Sitanii.........namaliza haya maongezi na huyu mshenzi wa kwanza halafu namalizia udhia, dakika 5 tu pliz

pictures-of-cheaters15.jpg
 
Attachments

  • mmmha.jpg
    mmmha.jpg
    48.9 KB · Views: 35
Unajua kutumia hizo? Na kushauri usimfanye chochote mgoni wako una takiwa umshukuru kwa kukusaidia maana hiyo kazi usinge weza peke yako bila msaidizi.
 
hilo natumia kuwinbia wanyama waharibifu shambani kwangu sio la binadamu.....kama unataka nina ka AK 22....nikupe.....

AK 22 You are not serious..........Ila sikushangai nakumbuka Mwali alivyokuchukulia b/f wako ukawa unatizama tu bila kuchukua hatua

pictures-of-cheaters17.jpg
 
Last edited by a moderator:
AK 22 You are not serious..........Ila sikushangai nakumbuka Mwali alivyokuchukulia b/f wako ukawa unatizama tu bila kuchukua hatua

niko serious....au umekariri lile alilotengeneza na huyo sijui Kalashnikov sijui kitu gani.......
hilo 22 mimi mwenyewe ndio designer na producer hapohapo.......chezea AP wewe.......Automat Preta......sio AK 22....ni AP 22.......
 
dah! mbavu zangu jamani!

Ndio bashaija........Usinicheke haya mambo ni vyema kuyamaliza mapema, nakumbuka mwaka 1970 ulivyomfumania Kaizer..bahati mbaya bunduki ilikuwa haina risasi ila alitia adabu

pictures-of-cheaters20.jpg
 
Last edited by a moderator:
niko serious....au umekariri lile alilotengeneza na huyo sijui Kalashnikov sijui kitu gani.......
hilo 22 mimi mwenyewe ndio designer na producer hapohapo.......chezea AP wewe.......Automat Preta......sio AK 22....ni AP 22.......

AP (Automatic pre-mature).......bado hauko serious.........Hebu kumbuka siku yako ya harusi namna Judgment alivyomtomasa cacico na bado hukustuka!!!!!!!!!!!

pictures-of-cheaters13.jpg
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom