Kaka wewe ni nomaaa.......huyu ni first born wa obama anaitwa malia, bonge la mtoto, second born wake anaitwa sasha katoto nako kapo kwenye list ya uzuri, katoto haka ka sasha kanaaminika katakuwa kamwansiasa nako kama baba yake....pia kapo vizurisana darasani kuliko hata dada yake malia....:A S 465:
Wee utakuwa Mnyamwezi mwenzangu tu, eti MALIA. Sema MARIA bana.
Sisi Wanyamwezi tunashida sana na hizi L maana kila palipo na R, tunaweka L. Nilisoma ALUSHA Sekondali......
View attachment 63530
Leta maneno yako kuhusu mtoto huyu
Loh............................................................!!!
Mungu mwache aitwe Mungu. anajua kuumba dah.....!!
Nimekufa hapa mimi wanajf.....
Siyo Wanyamwezi tu. Tatizo hili liko kwa Wasukuma wote.
Kuna mtu katoa kidokezo kwa kusema ' First daughter'. Naona kapata. Huyu binti bwana ukimtazama sana anafanana na mama yake Michelle. Kwa hiyo huyu binti ni mtoto wa Barack Obama.
Wee utakuwa Mnyamwezi mwenzangu tu, eti MALIA. Sema MARIA bana.
Sisi Wanyamwezi tunashida sana na hizi L maana kila palipo na R, tunaweka L. Nilisoma ALUSHA Sekondali......
Pamoja na unyamwezi, bado hajakosea sana, nafikiri binti anaitwa Malia.
Wasukuma na Wadakama ni WANYAMWEZI bana. Sema mmoja yupo KASKAZINI na mwingine yupo KUSINI.
Mmoja anaitwa MDAKAMA (Wa Kusini) ambao ndiyo wanafahamika Wanyamwezi na mwingine ni MSUKUMA (Wa Kaskazini).
mchumba wangu- mtoto wa mama wa mkwe wangu-kaunga. Mimacho ilivyowatokaView attachment 63530
leta maneno yako kuhusu mtoto huyu
loh............................................................!!!
Mungu mwache aitwe mungu. Anajua kuumba dah.....!!
Nimekufa hapa mimi wanajf.....