Nani anavikumbuka na alisoma hivi vitabu?

I wrote a letter to my darling, but she didn't answer me*2 I don't know what is the matter matter*2 Who is knocking the door,sister knocking the door*2 Brother knocking the door always*2
Mhh! Nilikuwa la kwanza miaka hiyo.

I wrote a letter to my darling, but she didn't answer me*2
I dont know why she didn't!*2
Who is knocking on the door?*2
Mother is knocking on the door I know!
 
ID ya mtu hyo
kabanga ampiga mkoloni

Bro nipo nafurahi Vijana wanapo nikumbuka, unajua enzi zetu JF ikiwa Jf kwelikweli ilikuwa unachagua ID kutokana uhusika wako na fikra zako na hakika ID ya mtu iliakisi frikra za mtu, so wakati najiunga na JF ilikuw akipindi cha mapambano ya ufisadi so nikaona huyo Mkoloni mweusi hana tofauti na mkoloni aliyepita so nikaamua kujiita Kibanga Ampiga mkoloni kwa maana ya kupiga MACC.
 
Siku hizi mamiss wamehamia JF, Lundenga atahamia huku soon
 
Sikiri mimi masikini

ni Fikiri, mtoto alikuwa mvivu huyu lol! enzi hizo darasa la tatu. Hadithi ya panga la shaba, huyu mganga nae alikuwa kiboko alijitwalia mwanamke mrembo eti ana mtibu
 
Wadau naomba wapi nitapata vitabu vya hadithi za zamani kama za kina Bulicheka, Panga la shaba, Abunuwasi, Mandawa na Manenge.

==========
Duu, umenikumbusha mbali sana, vitbu vya Safari ya Bulicheka na mkewe Lizabeta ninavyo copy mojamoja. Nenda Case store bookshop Arusha vinapatikana !!
 
Back
Top Bottom