Nani anauelewa zaidi kuhusu Nafasi za kazi za shirika la ILO ALMAARUFU KAMA "KAZI NJE NJE"?

MCHUMIPESA

JF-Expert Member
Mar 11, 2012
2,088
257
Hivi nafasi wanazozitangaza zinawasaidia vipi vijana ktk kujikwamua kimaisha?.Je kuna ukweli wowote?.Naomba kwa yule yeyote anayefanya kazi kwenye hili shirika tena kwenye kazi nje nje atujuze.Asanteni karibuni
 
Back
Top Bottom