Nani anatumia kichwa kufikiri au kufugia nywele kati ya wakili na jaji

Karibuni masijala

JF-Expert Member
Sep 13, 2012
409
135
Wanabodi, Mwanasheria Mkuu Jaji Werema katika kujibu hoja za Mhe Mbunge na Wakili wa Mahakama kuu Tundu alisema kichwa si cha kufugia nywele tu bali ni kwa ajili ya kufikiria. Je baada ya Kauli hiyo utendaji wao kwenye nafasi walizopewa nani anatumia kichwa kufikiri na sio kufuga nywele tu. Kabla na hata baada ya shughuli za mbunge kuhairishwa utendaji wao. TUNDU LISU: Kuthibitishia kamati ya Bunge utaratibu wa Rais wa majaji umesababisha majaji vihiyo kuteuliwa, kutokubali waziri kuunda tume kuchunguza kifo cha mwandishi wa habari na sio kamati kama za harusi kufanya, kuchambua Muungano wetu na serikali ya maridhiano ilivyokiuka katiba, kujenga hoja za katiba mpaka Rais akakubali kufanyia marwkebisho sheria aliyopitisha muda mfupi ya katiba mpya, Rais kutamka heri Slaa awe rais kuliko mhe. Mbunge kushinda uchaguzi wakati wa kutafuta ridhaa ya kupanga magogoni. Jenga hoja kukubali au kukataa, kukosoa na hata kuongeza nyingine AU Mwanasheria na Jaji kutoa ushauri kwa shughuli za Serikali kuingia mikataba, kujibu hoja za bunge zilizomhitaji kuzijibu, karibuni wanajamvi,
 
mwanasheria ndo anatumia kichwa kufuga nywele na sio kufikiri,namuonea huruma kwa kujitwisha likichwa lisilo na akili.
 
Ina maana alikuwa anasema asichoelewa. Tundu lisu amedhibitisha pasina shaka jinsi ni Great thinker kwa ushaidi wa hivi karibuni wa majaji na majukumu yake kama mnadhimu na mbunge na rais alishamtambua kabla akakiri heri slaa awe rais kuliko lisu kuwa mbunge mhimili wa mahakama unatambua hilo. Ndugu yangu hebu pia dhibitisha utendaji wa jaji unavyoona anatumia kichwa kwa kazi moja isiyo ya muhimu kwa Taifa akaacha kukitumia kuweka historia maana hakuna historia kama hakuna kudikiri au hata ufanisi unahitaji fikra
 
Back
Top Bottom