Nani anatudharau sana waafrica kati ya hawa 3?

Dharau ipo kwa kiasi kikubwa tena sana tu. Tusijifariji kwa kusema eti hakuna dharau. Ukishakubali dharau ipo kwetu sisi kwa sisi itakosa kwa different races? Nani alifanya kazi na Muindi kwenye kampuni ya Muindi hata kama ana elimu na utendaji mzuri kuliko muindi, mzungu au Mwarabu wakalipwa sawa?

Namba moja kwa dharau na ubaguzi ni Mhindi, namba mbili mwarabu na wa mwisho mzungu. Mzungu ni rahisi sana kumwelewa watu wengine hata kama wako tofauti kirangi. Mzungu ukifanya nae kazi atakuthamini na kuthamini mchango wako hata kama htalingana naye lakini hutaisi kunyanyasika. Mhindi na Mwarabu ni watu wabaya kweli na Mungu tu anajua kwanini aliwaweka duniani ilitakiwa wawe na sayari yao ambako huko watu wanadharauliana na ukiwa na pesa watu wote waweza tukana bila matatizo.

Mimi nafanya kazi wazungu ukweli hawa watu hawana dharau ila inategemea mtu mmo1 mmo1 pia. Wao watakubagua kulingana na unavojibagua mwenyewe. Ukijichanganya watakupa ushirikiano wote na kuwa one of their friends. Mwarabu uswahili unamfanya ajichanganye na watu lakin pia kumbuka wengi wao wako na hali ya chini kama waafrika wengi hivo inafunika ubaguzi wao kwa watu wengine. Mzungu ni binadamu mwarabu ni mtu, Mhindi ni mnyama tena fisi lisilojua binadamU
Mkuu umeongea vizuri sana ni kweli mswahili hawezi fanyakazi na muhindi kwenye office au kampuni ya wahindi alafu mulipwe
mshahara sawa! lazima muhindi mwenzao wamlipe pesa zaidi kuliko mswahili. Ila hapo kwa mzungu napingana na wewe. Wazungu
kama wajerumani,makaburu,waitaliano,waamerica na wagiriki nk. ni roho mbaya kwa kwenda mbele! wakiwa hapa nchini kwetu wananye
nyekea sana wazawa'sasa jaribu kwenda kwao cha moto utakiona! hawakuthamini hata chembe
 
Mwarabu anatuzarau sana, ndio maana wanaharibu watoto wetu kwa tabia zao mbaya, zaid wanaubaguzi!
 
Mwarabu anatuzarau sana, ndio maana wanaharibu watoto wetu kwa tabia zao mbaya, zaid wanaubaguzi!
Hapo kwenye ubaguzi nakubariana na wewe. Lakini tuwekewazi unaposema wanaaribu watoto wetu kwa tabia zao, Je ni tabia gani hizo wanazowafanyia watoto wetu?
 
yule mhindi rostam msiamsahau jamani
Na ndiyo maana tukasema hawa watu wanatudharau sana kutokana na mifano hii ya wakina Rostam,
Manji,Mohamed Dewji,Jeetu patel nk. si unaona wanavyoiburuza Tanzania na watu wake?
 
Aidha hujakaa na wazungu au unataka kujikomba!Kukaa na wazungu ninamaanisha kula nao, kulala nao na hata kuzaa nao. Kufanya nao kazi tu haitoshi kuwaelewa!
Umemjibu vizuri sana! maana sisi wengine tumeishinao na pia tulijifanya kimbelembele cha kutaka kuoa demu wa kitasha'lakini
mambo niliyokutananayo kutoka kwa huyo mpenzi wa kizungu ambae teyari tulipanga future ya maisha yetu siwezi kuyaanika hapa
jamvini! yaani ni balaa tupu na nikaamua kutoka nduki bila kuaga!
 
kimsingi mimi nimeishi na makundi yote matatu uliyoyataja na pia kundi la nne unaloliona la wadharauriwa (waafrika) dharau ya ubaguzi ni dharau iwe kubwa au ndogo yote ni dharau na inaumiza, cha msingi kuto kuangalia nani anakudharau/kubagua kuliko nani maana utajijengea hasira na kuanza kumbagua pia.

Nikijibu HOJA yako wote hao watatu ni wabaguzi lakini WAHINDI ni babu kubwa(kumbuka kuna wahindi waislam,singasinga, wakristo na wahindu) Wahindi wa dini ya hindu ni noma tena wengi wao watokao ktk jimbo la GUJARAT HAO NI SOO na hiyo inatokana na DINI yao ya HINDUISM ambayo inabainisha kuwa duniani binadamu tupo katika matabaka na kunatabaka la untouchable ktk tabaka hilo waafrika tumo kama ilivyo kwa jamii ya wahindi wenzao, wahindi weusi (GOA)

Hila kumbuka viongozi wetu wa Tanzania na Afrika ni watu wa kujipendekeza na kuthamini wenye nacho tabia hiyo imepelekea kujipendekeza kwa jamii ya WAHINDI ambao wanawatumia viongozi wetu kama condom siku wakipoteza madaraka wanawabagua kama waafrika wengine, tabia ya viongozi wetu ndio imeongeza hali ya waafrika weusi kubaguliwa hata katika nchi zetu wenyewe na viongozi wetu wakishiriki kufanikisha hali hiyo.

Cha msingi ukichukia kubaguliwa kwa rangi au ufukara wako nawe usibague wengine au wanaokubagua maana kama nawe unabagua hautokuwa na tofauti na hao wabaguzi wenzako

Vipi na Wayahudi ambao hudai wao ni Taifa teule na huwezi kuingia dini ya Kiyahudi ila uwe umezaliwa Myahudi? Jee na vipi Ukristo unapodai Mfuate Yesu uokoke( yaani mfuate Yesu akupeleke Mbinguni au Peponi!) ukifuata njia zingine utapotea huo sio Ubaguzi? na ubaguzi tulionao hapa kwetu bongo ni babu kubwa! jaribu kupanda Basi linalotoka Machame kwa Mbowe unaelekea Arusha na wewe ni Mmasai halafu abiria wote ni Wamachame kabila la Mbowe na wewe Mmasai uko peke yako abiria wenzako wanaanza kuongea Kimachame na wewe hukijui! utajisikiaje? tena wanaongea kwa sauti kubwa wakikutazama huku wanacheka ovyo!!!!!
 
Ha ha ha!Vipi kama wanatokea umasaini halafu kuna mmachame mmoja ndani ya gari?
 
Dharau kubwa ni mtu kujidharau mwenyewe!! iwe ni muafrica ,muhindi au mwarabu etc.
 
Vipi na Wayahudi ambao hudai wao ni Taifa teule na huwezi kuingia dini ya Kiyahudi ila uwe umezaliwa Myahudi? Jee na vipi Ukristo unapodai Mfuate Yesu uokoke( yaani mfuate Yesu akupeleke Mbinguni au Peponi!) ukifuata njia zingine utapotea huo sio Ubaguzi? na ubaguzi tulionao hapa kwetu bongo ni babu kubwa! jaribu kupanda Basi linalotoka Machame kwa Mbowe unaelekea Arusha na wewe ni Mmasai halafu abiria wote ni Wamachame kabila la Mbowe na wewe Mmasai uko peke yako abiria wenzako wanaanza kuongea Kimachame na wewe hukijui! utajisikiaje? tena wanaongea kwa sauti kubwa wakikutazama huku wanacheka ovyo!!!!!
Mbona hii yako imekaa kidini-dini na ukabila? kulikoni mwenzetu? Habari ya asubuhi!
 
Mwarabu!! wajumbe si mnakumbuka wakati wa utumwa waliwananii wazee wetu ndiyo mana akuna mchanganyiko wa mwarabu na mbongo. siwapendi kama CCM.
 
Kesho utaleta mada ya udini hapa,taratibu tunaanza kubaguana watanzania duh
 
Binafsi wakati nafanya office ya wahindi fulani pale posta siku moja nilikwenda toilet na nikatumia choo cha boss wangu huyo
muhindi (hivi vyoo vya kisasa vya kuflash na maji) basi unaambiwa kijana nilifukuzwa kazi pale kama mbwa! kisa? nilitumia choo cha
boss badala ya kutumia choo cha shimo walichotuwekea wafanyakazi wa kiswahili pale officini. Sasa kwa vile mm nilikuwa na cheo fulani
basi nikaona si vibaya nikishare toilet moja na boss wangu' thubutuuuuu...... niliishia kufukuzwa kazi

duh! Pole sana kwa yaliyokukuta.
Mimi nafikiri tunatikiwa kuwa na msimamo na ujasiri wa kuongea hasa kama unafanya kazi na hao watu.
Usiishie kulalamika moyoni.
Na sisi wenyewe hasa viongozi wetu waache kuwashobokea.
 
Yaah i like ur sound
 
Nilikuwa na wazungu kwa kipindi fulani , sikuona kama wana dharau bali kauoga flani hivi, ila baada ya muda mkizoeana nao iwe shule au kanisani, mnakuwa marafiki au kama ndugu. Mifano hai ninayo.

Ishu ipo kwa wahindi, wana dharau hawa jamaa wakati kwao ni maskini square zaidi yetu sisi.

Kwangu mimi kati ya hayo matabaka naona WAHINDI wanadharau sana. Kama wazungu wana dharau basi haijawafikia magabachori wahindi.

Shule tuliyosoma mkoa mmoja wa kanda ya kaskazini walikuwepo wahindi wengi sana na dharau zao, tulikuwa tunawakomoa kwa kuwavuta nywele.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom