Nani anatakiwa abadilike mimi au mke wangu?

du so unamsema kikwete alipopigapicha na michele na obama bila salma?
 
Hahahaha! Kwa mara ya kwanza leo Msindima umekuwa upande wangu. Nimekugongea thanks kule na hapa nakupa Thanks nyingine ya nguvu

Asante Chriss,ukiongea point aaa naunga mkono hoja kunakuwa hamna shida kabisa.
 
Asante Chriss,ukiongea point aaa naunga mkono hoja kunakuwa hamna shida kabisa.

Ina maana saa nyingine huwa naongea pumba? Nadhani kumbe bado hujanielewa vizuri. Mi ni booooonge la jentoman.
 
Aaa kuna saa zingine nakuwa sikuelewi mkuu,lakini sasa naona naanza kukuelewa.

Nakuomba uendelee kunielewa hivyohivyo, huwezi jua mipango ya Mungu. Thanks Thanks Thanks. Nimekutwanga tena na hizo tatu kwa mpigo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom