Nani anasema wanaume ni adimu na wachache?

Maty

JF-Expert Member
Aug 24, 2010
2,167
725
Wadau kuna huu msemo kwamba wanaume ni wachache wanawake wengi. Huo sio ukweli kabisa wanaume wako wengi sana ila wale wenye vigezo na wanaofaa ndio wachache. Nakaribisha mashambulizi
 
na mie nikickiaga huo usemi nashangaaga sana, ndio unawafanya wadada wanag'ang'ania mahali kama kupe, kashaona tatizo la mtu lakini atakazania tu kuwa nae kwa maneno kwamba wanaume adimu...mbona mie nawaona wapo kibao sema kama ulivyosema vigezo ndio adimu lakini sio wanaume adimu.
 
wenye hela na wenye kutimiza mahitaji yote ya mwanamke ndio wachache, lakini hohe hae wamejaa kibao, ndio maana wanawake wengi wanagombea padeshee hawagombei shamba boy, sasa piga hesabu hapa mjini mapedeshee ni wangapi?
 
Mbona hata wanawake wenye vigezo ni adimu pia.....ila wenye kuongea kama vile wao ni malaika wamejaa kibao.
 
Wadau kuna huu msemo kwamba wanaume ni wachache wanawake wengi. Huo sio ukweli kabisa wanaume wako wengi sana ila wale wenye vigezo na wanaofaa ndio wachache. Nakaribisha mashambulizi
Talk sense with quotes and statistics sio umeamua kubwata tu kwasababu huna cha kujadili. Kama huna cha kusema nyamaza angalia wenzako wanasema nini! Tupe data statistics mfano sensa ya 2002 wanawake TZ wapo asilimia 5 wanaume 95 n.k n.k sio unatoa maelezo yasiyokamilika alaaah Watu wengine bwana!!
 
1.Kuna baadhi ya nchi kutokana na vita wanaume ni wachache. Wengi wao walikufa vitani.
2. Sina uhakika sana,ila kwa mujibu wa sensa iliyopita wanawake wamezidi kidogo kiidadi
3.SASA kwa mtazamo wa kimapezi inategemea una mtazamo gani,kwa mtazamo wako waweza sema hakuna wakati tupo tumejaa
4.Kwa taarifa yako wapo wanaume wengi tu HAWANA WAPENZI.
 
Talk sense with quotes and statistics sio umeamua kubwata tu kwasababu huna cha kujadili. Kama huna cha kusema nyamaza angalia wenzako wanasema nini! Tupe data statistics mfano sensa ya 2002 wanawake TZ wapo asilimia 5 wanaume 95 n.k n.k sio unatoa maelezo yasiyokamilika alaaah Watu wengine bwana!!
eeeeeeeh kweli wewe ni SOKOMOKO.
 
Inaelekea wewe ndio wale wanaume wasiokuwa na vigezo mwanaume suruali. Kwani umelazimishwa kusoma na kuchangia au wewe ndio unabwata tu

Talk sense with quotes and statistics sio umeamua kubwata tu kwasababu huna cha kujadili. Kama huna cha kusema nyamaza angalia wenzako wanasema nini! Tupe data statistics mfano sensa ya 2002 wanawake TZ wapo asilimia 5 wanaume 95 n.k n.k sio unatoa maelezo yasiyokamilika alaaah Watu wengine bwana!!
 
wenye hela na wenye kutimiza mahitaji yote ya mwanamke ndio wachache, lakini hohe hae wamejaa kibao, ndio maana wanawake wengi wanagombea padeshee hawagombei shamba boy, sasa piga hesabu hapa mjini mapedeshee ni wangapi?

Wanaogopa kuzalishwa watoto wengi! Starehe ya maskini mkewe!
 
Mbona hata wanawake wenye vigezo ni adimu pia.....ila wenye kuongea kama vile wao ni malaika wamejaa kibao.

Hiyo ni kweli kabisa ila huu msemo wa kuwa wanawake ni wengi na wanaume wengi ndio unaonitatiza ingesemekana tu wanaume wenye vigezo ni wachache na wanawake pia. Lakini utakuta mtu ananza kusema ooh ili wanaume wawatoshe wanawake kila mwanaume lazima awe na wanawake watano hadi sita hilo sikubaliani nalo kwani hata mwanamke kama una ubavu unaweza ukawa nao hata hao watano au sita
 
Mbona kuna wanawake wengi tu wenye mabwana zaidi ya mmoja. Wewe mwenzangu kwani unaishi wapi? Tofauti tu ni kwamba wanawake huwaga hawafanyi kwa uwazi kama ilivyo wanaume. Lakini ubavu wa kuwa na wanaume wengi wanao sana na wanafanya sana. Huko maofisini ndio usiseme. Tunayoshuhudia ni mengi na ya kusikitisha sana.

Halafu jioni ikifika wanarudi kwa waume zao kama vile hakuna kibaya walichokifanya na ikifika jumapili (kwa wakristo) wanaenda kanisani kama kawa....

Na hii teknolojia ndio kabisaa imerahisisha mambo. Mtu unakuta ana simu zaidi ya moja, ana facebook, ana wayn.com, ana sijui twitter, hi-5, yupo JF na ana marafiki kibao anao chat nao na kutumiana PM, yuko kwenye yahoo messenger, yuko kwenye msn hotmail messenger.....hahahahaaaa...mweeeeee.....ukifikiria sana utadata bure

Yaani full usaniii kwa kwenda mbele...
 
wenye hela na wenye kutimiza mahitaji yote ya mwanamke ndio wachache, lakini hohe hae wamejaa kibao, ndio maana wanawake wengi wanagombea padeshee hawagombei shamba boy, sasa piga hesabu hapa mjini mapedeshee ni wangapi?

The same applies to women wenye vigezo vinavyokubalika wako adimu, ila siku zote wanafikiri wao ndio queens
 
Hiyo ni kweli kabisa ila huu msemo wa kuwa wanawake ni wengi na wanaume wengi ndio unaonitatiza ingesemekana tu wanaume wenye vigezo ni wachache na wanawake pia. Lakini utakuta mtu ananza kusema ooh ili wanaume wawatoshe wanawake kila mwanaume lazima awe na wanawake watano hadi sita hilo sikubaliani nalo kwani hata mwanamke kama una ubavu unaweza ukawa nao hata hao watano au sita

Hiyo idadi uliyo-quote hapo ni ndogo sana hebu sema ukweli basi bana
 
Mbona kuna wanawake wengi tu wenye mabwana zaidi ya mmoja. Wewe mwenzangu kwani unaishi wapi? Tofauti tu ni kwamba wanawake huwaga hawafanyi kwa uwazi kama ilivyo wanaume. Lakini ubavu wa kuwa na wanaume wengi wanao sana na wanafanya sana. Huko maofisini ndio usiseme. Tunayoshuhudia ni mengi na ya kusikitisha sana.

Halafu jioni ikifika wanarudi kwa waume zao kama vile hakuna kibaya walichokifanya na ikifika jumapili (kwa wakristo) wanaenda kanisani kama kawa....

Na hii teknolojia ndio kabisaa imerahisisha mambo. Mtu unakuta ana simu zaidi ya moja, ana facebook, ana wayn.com, ana sijui twitter, hi-5, yupo JF na ana marafiki kibao anao chat nao na kutumiana PM, yuko kwenye yahoo messenger, yuko kwenye msn hotmail messenger.....hahahahaaaa...mweeeeee.....ukifikiria sana utadata bure

Yaani full usaniii kwa kwenda mbele...

Hapo kwenye bold umeniacha hoi yaani umenichekesha sana
 
There are 3,324,047,000 males in the world. the worlds population is 6,615,852,000. Making males being 50.24% of the worlds population. It means female being 49.76%. Source: What percent of the population of the world are male? Kwa hiyo wanaume ndio wengi kuliko wanawake China ndio chanzo kikubwa cha wanaume kuwa wengi, kumbuka zaidi ya 19% of the world's population is from China.
Labda kwenye issue ya uaminifu sina data kati ya wanaume na wanawake nani ni waaminifu zaidi ya wengine.
 
we sokomoko kweli akil zako zmepaa
umeelewa topik?
awaongelei sensa wewe wanaongelea msemo u kikawaida as it used to b
wanaume wanye vigezo ndo wachache sana .......bt wanaume suruali tu wapo kibaaaaaaaaaaaaaaaaaaaao
wanaume wenue uume ndo nehiiiiiiiii
 
Back
Top Bottom