KakaKiiza
JF-Expert Member
- Feb 16, 2010
- 11,578
- 8,600
Lakini muhindi anatoka leo Bombay na anafikia upanga au kisutu,katikati ya mji nakufikia nyumba ya NHC!!shame on them!!Experince ya National Housing niliipata wakati naanza maisha nikawa natafuta nyumba ya kupanga kwenye shirika hilo, nilipokwenda kwenye ofisi zao wakaniambia kwasasa hatuna nyumba lakini kama utaona kuna mtu anahama kwenye nyumba zetu njoo mara moja tuambie halafu tutakupatia! mpaka leo ni mwaka wa 10 sijapata kuona mtu amehama kwenye nyumba hizo na bado naishi kwenye nyumba za Tembe kama ID yangu inavyonekana hapo kushoto.