Nani anapenda rangi ya Kijani???

Boflo

JF-Expert Member
Jan 20, 2010
4,384
4,409
Nachukia siasa, Sababu ni mwenendo wa kiutendaji wa Chama Cha Mapinduzi, ambacho hakimjali tena mnyonge na badala yake tunaambiwa CCM ina wenyewe... kina nani? Ni wenye nazo, mafisadi au?
Ni miaka 50 ya uhuru, maendeleo tuliyo yapata ni ufisadi, vilio kutoka kwa wanyonge, kodi zisizo na kichwa wala miguu na mashimo matupu yasiyo na madini.

Uongozi wa kifalme (familia chache zinamiliki haki ya kuongoza kana kwamba hii ni nchi yao wenyewe. Ukiuliza sababu utaambiwa wale ni wana CCM!
Jamani Watanzania tumechoka, tufike mahali tuseme imetosha na kutosha huku ni kuamua kufanya maamuzi magumu siku ya Jumapili ya Oktoba 31 kwa kupiga kura ya hapana kwa kila kiongozi wa CCM na kuwachagua viongozi wa vyama vingine ili tuone mabadiliko.
CCM wanasifika kwa sera zisizo na hata chembe ya huruma kwa mwananchi wa kawaida. Tumewachoka hawa jamaa kuliko hata maelezo. Wapinzani bila ubaguzi, wala upendeleo, wana sera za uwazi. Elimu bure inawezekana.
Mikataba mibovu ya madini inawezekana kuikagua upya. Wezi wote wa mali za umma kuna uwezekano wa kuwapeleka mahakamani na pengine jela. Nimefikia hatua naichukia siipendi hata rangi ya kijani inayotumiwa na chama hicho. Tuungane tufanye mabadiliko. Tanzania bila CCM inawezekana.
 
Hiyo ni rangi ya Yanga. Badilisha topic yako, utaichukia vipi rangi ya kijani ya Yanga?
 
tuko pamoja boflo Mungu atusaidie! na mbaya zaidi wanaendelea kukumbatia katiba mbovu ambayo hawana hata mpango wa kuibadilisha
ili waendelee kujineemesha.
 
Nimetoka katika moja ya mikutano ya kampeni mama mmoja ametoa moja kali kuwa "KAMA WANADAI WANAPENDWA NA WAMEFANYA MENGI KWA NINI WANATUMIA LIMBWATA AKA RUSHWA?
 
Nachukia siasa, Sababu ni mwenendo wa kiutendaji wa Chama Cha Mapinduzi, ambacho hakimjali tena mnyonge na badala yake tunaambiwa CCM ina wenyewe... kina nani? Ni wenye nazo, mafisadi au?
Ni miaka 50 ya uhuru, maendeleo tuliyo yapata ni ufisadi, vilio kutoka kwa wanyonge, kodi zisizo na kichwa wala miguu na mashimo matupu yasiyo na madini.

Uongozi wa kifalme (familia chache zinamiliki haki ya kuongoza kana kwamba hii ni nchi yao wenyewe. Ukiuliza sababu utaambiwa wale ni wana CCM!
Jamani Watanzania tumechoka, tufike mahali tuseme imetosha na kutosha huku ni kuamua kufanya maamuzi magumu siku ya Jumapili ya Oktoba 31 kwa kupiga kura ya hapana kwa kila kiongozi wa CCM na kuwachagua viongozi wa vyama vingine ili tuone mabadiliko.
CCM wanasifika kwa sera zisizo na hata chembe ya huruma kwa mwananchi wa kawaida. Tumewachoka hawa jamaa kuliko hata maelezo. Wapinzani bila ubaguzi, wala upendeleo, wana sera za uwazi. Elimu bure inawezekana.
Mikataba mibovu ya madini inawezekana kuikagua upya. Wezi wote wa mali za umma kuna uwezekano wa kuwapeleka mahakamani na pengine jela. Nimefikia hatua naichukia siipendi hata rangi ya kijani inayotumiwa na chama hicho. Tuungane tufanye mabadiliko. Tanzania bila CCM inawezekana.

Mi naipenda rangi ya kijani. Inaonesha uhai na amani ni tofauti na rangi ile sijui ndiyo inaitwa ya khaki (nielewesheni) ambayo mara nyingi hutumika kama uniform ya kijeshi. Rangi ya khaki unapokutana nayo ghafla unareflect mind kwenye mambo ya uvunjifu wa amani vile!
 
Back
Top Bottom