Nani Anaongoza Tanzania? ICP Mwema au Pinda? Serikali ya JK Yateketea...

niweze

JF-Expert Member
Oct 21, 2009
1,008
116
Kutokana na Vituko na Maamuzi ya Serikali Hivi Karibuni Tunaona IGP Mwema Ndio Alihusika Kutoa Order ya Mauaji Arusha na Kila Leo Anaendelea Kutoa Maamuzi ya Kupiga Risasi Raia wa Tanzania. Kutokana Hizi Scandals na Vitendo Hivi Jeshi la Polisi Linatumiwa na Viongozi wa CCM Kumaliza Wananchi Wote Wanaotaka Kuilinda Nchi Yao na Kupinga Wizi wa Taifa Letu. Jambo Jingine Tunaliona Hata Kungushwa kwa Raisi Ben Ali Tunisia, Polisi Walihusika Kuwaua Wananchi. Hii Hali ya IGP Mwema Kujingiza Kisiasa ni Hatari na Mwisho wa CCM Tanzania.

Pinda Pia Nae Anaonekana Kukabiliwa na Vitu Vingi. Huko Dodoma, Wanafunzi na Walimu Wamemweka Kati. Huku Baraza la Mawaziri Linavunjika. Kitu Kimoja ni Kwamba Pinda Anaonekana Hana Madaraka Sana kwa Sababu IGP na Mawaziri Wengine na Jaji Mkuu Wanaonekana Kumchanganya. Serikali ya JK Inateketea Pole Pole...

igpmwema1.jpg

pinda.gif


Has police shooting of civilians tainted IGP Mwema
 
Tatizo la msingi nchi haina Rais!

Tatizo la nyongeza. Vyama vilivyotuletea uhuru africa vime uangamiza uhuru na ukombozi walioutwaa toka wakoloni. Vimekuwa vya kikoloni kuliko wakoloni.
 
Back
Top Bottom