Nani anaongoza kwa kuwagongea watu "LIKES" hapa JF

Hahahaha, haya bana.

Kuhusu kuwa gay, mi naona poa tu kama huyo mtu hafanyi kazi ya kushushia wenzake kujiamini.Though wapo wengine kujiamini tu kwa mwenzake kunatosha kumvunja yeye.
Lol! Nilisema "Hypothetically" but you took it "Literally"

Neways, ni msemo tu kuwa unajipenda sana, or something alongside those lines...

Ni kausemi tu ndo maana nikasema just to be on the safe side...

Kwamba i dispute that stuff as selfish or whatever...lol
 
Nilitaka tu unipe jibu lolote, yani unavyoona wewe, unadhani mi "likes" unayopewa ni kwa standards zile zile unazo wahold wenzako?

BTW ulisema nisiseme "mna" na wakati hapo juu umesema "Hatuamui"

Do you mind me asking hamuamui wewe na nani?
Mimi na member wengine wote. . . .isipokua wale wanaojigongea kwa ID zao nyingine. Tunachangia, mtu akipenda michango yetu ndio tunapokea.
Ila kwenye kutoa kila mtu anajitegemea.

Hahahaha, kuhusu vigezo nnavyotumia kama vinatumika kwangu pia, ummmmm I would like to think so.Ila sina uhakika.
 
Lol! Ok.
 
Lol! Nilisema "Hypothetically" but you took it "Literally"

Neways, ni msemo tu kuwa unajipenda sana, or something alongside those lines...

Ni kausemi tu ndo maana nikasema just to be on the safe side...

Kwamba i dispute that stuff as selfish or whatever...lol
I didn't take it literally. . . . nimetumia context ile ile uliyotumia wewe kukujibu.Kwamba sioni tatizo huyo mtu (whatever you call him ) akiwa mbinafsi iwapo hashushii wengine kujiamini kwa makusudi.

Na kuhusu kutulia, nitulie mara ngapi bwashe?
 
waliosoma shule za boarding wanajua
huwa inatokea kuna sherehe za birthday ya mtu,halafu watu wanaalikwa
kwenda kwenye darasa la sherehe
halafu wewe hualikwi.....lol....nahisi hizi likes kuna watu wakizikosa huwa wana umia kama hawajaalikwa kwenye sherehe...lol
 
Back
Top Bottom