Nani anaongoza kwa kuwagongea watu "LIKES" hapa JF

Unajuwa binafsi i dont care kama mtu ananipa like or not, even if mimi huwa nina like posts zake, i dont have any problem with that, lakini nikiona ni the same to almost all members, hapo ndo eyebrows...

Kama uchoyo huo una maana kwamba ni very few times other members wanaposti mabandiko usiyooya "like"
Then there is the problem why you're still in here lol
 
Yeahhh, kwenye kutoa ndio tuna maamuzi.

@AshaDii. . . .Naaah, watu watachakachua kama NEC.
Ni kweli, najuwa kuna watu mna "high standards"lol

Kwani maana ya ku "like" ina maamuzi gani? Nadhani Asha Dii kauliza hilo swali, je wewe ni wale wanaocheki hadi spelling?lol
 
Unajuwa binafsi i dont care kama mtu ananipa like or not, even if mimi huwa nina like posts zake, i dont have any problem with that, lakini nikiona ni the same to almost all members, hapo ndo eyebrows...

Kama uchoyo huo una maana kwamba ni very few times other members wanaposti mabandiko usiyooya "like"
Then there is the problem why you're still in here lol
Labda kweli hamna anaemkubali, yani anajikubali mwenyewe tu.
 
Sometimes pia kama nina posti nimeilekeza kwa mtu na ninataka arudi na kuijibu, basi huwa namgongea like ili apate notification, so reasons za kutoa likes inaonekana kuna utofauti mkubwa sana miongoni mwetu, all in all kila mtu ana right ya ku excercise whatever within JF's rules...
 
Ni kweli, najuwa kuna watu mna "high standards"lol

Kwani maana ya ku "like" ina maamuzi gani? Nadhani Asha Dii kauliza hilo swali, je wewe ni wale wanaocheki hadi spelling?lol
Mbona umesema "mna" ???
Don't group me bana.Mi najitegemea kwenye utoaji, na vigezo siwezi sema maana wachakachuzi hawachelewi kuchakachua.
 
Labda kweli hamna anaemkubali, yani anajikubali mwenyewe tu.
Thats gay lol

Its just "a say", just to be on a safe side...

I mean when you're too much into yourslef, wamarekani huwa wanasema "Thats gay" hypothetically...
 
Lizzy said:
Hatuamui kupata hivyo sijui kama zinakuja kirahisi au la.

Nilitaka tu unipe jibu lolote, yani unavyoona wewe, unadhani mi "likes" unayopewa ni kwa standards zile zile unazo wahold wenzako?

BTW ulisema nisiseme "mna" na wakati hapo juu umesema "Hatuamui"

Do you mind me asking hamuamui wewe na nani?
 
Back
Top Bottom