Nani anaongoza kwa kuwagongea watu "LIKES" hapa JF

Saint Ivuga

JF-Expert Member
Aug 21, 2008
54,363
58,386
'Nani anaongoza kwa kuwagongea watu "LIKES" hapa JF
sikukuu njema
gonga likes hapo chini kama vipi
kabla sijasoma post yako kwenye huu uzi naigongea likes kwanza
happy-new-year-2012-wallpaper.jpg
 
Halafu kuna wanaongoza kwa uchoyo wa likes, binafsi huwa na wacategorize kama "wabinafsi" Niishie hapo.
 
kwani likes lazima jamani
mbona haya mastory ya town ndo mpango mzima

basi nawagongea mi-LIKES *10
 
Back
Top Bottom