Nani anao huo wimbo?

Nimepita pita huko nimepata nyimbo tano za Salum Abdallah akiwa cuban marimba... lakini huo sijaupata.
 
Kwa habari nilizozipata muda si mrefu, mara baada ya wewe kupost hili tangazo, Lowassa alikimbia haraka kwenda kununua rights zote za huo wimbo. Sasa kazi kwako..... lol
 
Nikimpigia magoti kubembeleza itakuwa ni ufisadi? na akitokea kunipa bure kwa masharti "mepesi" nikubali? Well nitamuambia "what happened between us was nothing personal"... LOL
 
Ha ha ha ha atakwambia if there was nothing personal between you and me then you have to delete all messages that you wrote about me on JF. Je utaliweza sharti hilo? :)
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom