Nani analifaa taifa?

kulunalila

Member
Dec 1, 2011
43
6
nchi hii ilipiganiwa uhuru na kundi kubwa la viongozi waliokuwa vijana wakati huo, leo tuna siku ya pili ya kuutafuta uhuru wa pili ama niseme kuwa ni awamu ya pili ya ukombozi wa taifa letu lenye rasilimali tele na adimu duniani, tunao vijana wengi katika siasa na nje ya siasa, je kati ya hawa nani ataleta uhuru wa pili(ukombozi)
nape nnauye
mchembe
masauni
beno
nchimbi
january
millya
kawaa(vita na dada yake)
mnyika
zitto
mtatiro
jussa
sugu
kafulila
manchali
mdee
ester bula
bashe
paul mashaul
nyalandu
dewji
lema
au mwingine yeyote unaye mtambua nje ya hawa....???
 
Mh hawa wa ccm waondoe tu, labda Nyalandu kidogo japo yuko sana kimy lakini naijua dhamira yake ya ndani, tatizo anaogopa kufanya maamuzi magumu sijui anaogopa miradi yake kufuatiliwa na magamba au? Nape anapiga sana kelele kama mbwa asiye na meno. Wa upinzani naona wanajitahidi kidogo, mimi naona ukombozi uanzie kwa jeshi la wananchi maana tayari tumeshavamiwa toka nje na mali yetu inahamishwa kila siku. Nawaamini sana hawa jamaa wakichoka kuvumilia huwa wanafanya kweli maana walikula kiapo cha kuilinda nchi na rasilimali zake.
 
Nadhani Lema na Sugu wameanza kuonyesha njia kwa kutokuwa waoga kwa wanyonyaji wa hii nchi...
 
nchi hii ilipiganiwa uhuru na kundi kubwa la viongozi waliokuwa vijana wakati huo, leo tuna siku ya pili ya kuutafuta uhuru wa pili ama niseme kuwa ni awamu ya pili ya ukombozi wa taifa letu lenye rasilimali tele na adimu duniani, tunao vijana wengi katika siasa na nje ya siasa, je kati ya hawa nani ataleta uhuru wa pili(ukombozi)
nape nnauye
mchembe
masauni
beno
nchimbi
january
millya
kawaa(vita na dada yake)
mnyika
zitto
mtatiro
jussa
sugu
kafulila
manchali
mdee
ester bula
bashe
paul mashaul
nyalandu
dewji
lema
au mwingine yeyote unaye mtambua nje ya hawa....???

Mie kwa CCM naona yupo Ngereja, Fred, Vick Kamata, Miraji, na Ridhiwani..kwa chadema Mnyika,Lema, Lisu na Mdee wasipobadilika kwa tamaa ni wakombozi wazuri wa Taifa hili.
 
Kwa nini usiseme wewe ndo utaleta ukombozi? Kwa upande wangu mimi ndo nitaleta ukombozi wa taifa letu.
 
NGUGU ZANGU NCHI YETU INATAFUNWA KI UKWELI...NI NANI ATUJAZE UJASIRI TUTOKE HAPA TULIPO..CC WANANCHI TUPO KAMA HATUPO.WANAFANYA HIV KWA KUWA TULIKULA PILAU ZAO..TULICHUKUA KOFIA .KANGA.VITENGE,SUKARI..............................:A S embarassed::A S embarassed::A S embarassed:
 
nchi hii ilipiganiwa uhuru na kundi kubwa la viongozi waliokuwa vijana wakati huo, leo tuna siku ya pili ya kuutafuta uhuru wa pili ama niseme kuwa ni awamu ya pili ya ukombozi wa taifa letu lenye rasilimali tele na adimu duniani, tunao vijana wengi katika siasa na nje ya siasa, je kati ya hawa nani ataleta uhuru wa pili(ukombozi)
nape nnauye
mchembe
masauni
beno
nchimbi
january
millya
kawaa(vita na dada yake)
mnyika
zitto
mtatiro
jussa
sugu
kafulila
manchali
mdee
ester bula
bashe
paul mashaul
nyalandu
dewji
lema
au mwingine yeyote unaye mtambua nje ya hawa....???

Mkuu kwanza nikutaarifu mtoto wa nyoka ni nyoka na hata siku moja hawezi kuwa panya kwahiyo kitendo chakuwataja vijana wa ccm wakuletee uhuru kwani wanapingana na mkoloni mweusi anaetusumbua? Nilitegemea ungeniwekea majina ya vijana vilivyo against magamba
 
Mie kwa CCM naona yupo Ngereja, Fred, Vick Kamata, Miraji, na Ridhiwani..kwa chadema Mnyika,Lema, Lisu na Mdee wasipobadilika kwa tamaa ni wakombozi wazuri wa Taifa hili.

Utaniambia je mkoloni atakukomboa wakati unapingana nae ilopo nikusema magamba kwa ujumla hawawezi kutukomboa
 
Kwa nini usiseme wewe ndo utaleta ukombozi? Kwa upande wangu mimi ndo nitaleta ukombozi wa taifa letu.

Hilo nalo neno maana hii yakupasishiana mipira oh fulani ndo atatukomboa haitakiwi na ilopo ni kila mtu kuchukua wajibu yeye kama yeye kwamba ndo ataikomboa TZ
 
Kwa hali magamba wanatupeleka nayo ntashangaa kama kiongozi yeyote wa magamba ataenda ktk mkutano wowote na kupokelewa na watu wengi ilopo nikuwasusia kwa kila kitu kwani mambo ambayo wanafanya hata SHETANI mwenyewe hathubutu hata kidogo
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom