Nani anakuwa desperate zaidi kati ya mwanamke au mwanaume?

Ni mwanamke, ndiyo maana yuko tayari hata kuvamia ndoa ya mtu kwa madai kwamba tubanane hapa hapa!!
 
kwa mtazamo wangu wote wanaume na wanawake huwa desperate pale ambapo matarajio yao ya kupata wenzi wa kuoana hayajafikiwa, lakini kwa wanawake hali huwa mbaya zaidi kwa sababu mara nyingi hawana uwezo/ si kawaida kwa wao kupropose, wanasubiri tu wanaume waje wamwage sera ndio wao wakubaliane hivyo anapokosa mtu wa aina hiyo huwa mengi yanapita kichwani huwa mtu anajihisi pengine sina mvuto, au sina tabia za kuridhisha, au nina nuksi n.k. n.k. aidha wanawake wengi kimaumbile huanza kuonekana kabisa kuwa umri umeenda ha hivyo kuzidi kupoteza mvuto kwa wanaume walio wengi hali hiyo huwa inafanya mtu kwa kweli kuchanganyikiwa sana. tena wanatungwa majin akama nungayembe n.k. inazidi kuwachanganya
 
Kuwa deperate nakubali kunaweza kuwa ni sababu ya maswali ya jamii inayokuzunguka. But hiyo ni kweli tu kama wewe ulishajiwekea kuwa huna shida ya kuolewa/kuoa. Kuna wengine ni desperate si kwa sababu ya jamii bali kwa kuwa yeye mwenyewe alishajipangia kuolewa kabla ya umri fulani lakini hakuna anaye propose. Naongelea kuolewa zaidi kwa kuwa najua kabisa mwanaume hawezi kosa mke; ni uamuzi ila kwa mwanamke waweza ukawa ni uamuzi au ni bahati mbaya.
Kuwa desperate ni dalili unategemea jamii ipange maisha yako... Yeyote anayetegemea jamii ipange maisha yake atakuwa desperate either Mwanamke au mwanaume..kwani atakuwa anaogopa jamii inayomzunguka itakuwa na mawazo mabaya juu yake kama aja oa au kuolewa.

Hivy basi kuwa desperate ni mawazo yako bila kujali wewe ni mwanaume au mwanamke!
 
Kuwa deperate nakubali kunaweza kuwa ni sababu ya maswali ya jamii inayokuzunguka. But hiyo ni kweli tu kama wewe ulishajiwekea kuwa huna shida ya kuolewa/kuoa. Kuna wengine ni desperate si kwa sababu ya jamii bali kwa kuwa yeye mwenyewe alishajipangia kuolewa kabla ya umri fulani lakini hakuna anaye propose. Naongelea kuolewa zaidi kwa kuwa najua kabisa mwanaume hawezi kosa mke; ni uamuzi ila kwa mwanamke waweza ukawa ni uamuzi au ni bahati mbaya.
wanaume pia wapo
 
Kuna kitu huwa nafikiri lakini sipati jibu... Huwa nafikiri, bila kufuata jamii inataka nini, Je? kuolewa au kuowa ni suala la lazima? Je? unaweza kuwa na maisha mazuri na amani bila ya kuowa au kuolewa? Yaani I mean, kama unataka familia unaweza kumchukua mtoto au watoto yatima ukawafanya wako. Lakini pia, nisingependa ku-complicate issue kwa kuongelea jinsi gani utaweza kukidhi tamaa za kimwili..

Lakini in general..Je? kuna watu wanafuraha na amani bila ndoa? Na pia nisingependa kuchukua mfano wa mtu tajiri kama Oprah Winfrey.
 
Wapo... Mi mjomba wangu ni mfano tosha. He's like in his mid sixties na hana mke wala hawazi kuoa. And he enjoys life...
 
Suala la ku enjoy or not ni very person. You might think ana enjoy kumbe ana pretend ili msimuonee huruma.
Wapo... Mi mjomba wangu ni mfano tosha. He's like in his mid sixties na hana mke wala hawazi kuoa. And he enjoys life...
 
Kumbuka kuwa human being ni social animal. Binadamu wa kawaida ni lazima afikirie jamii kabla ya kufanya maamuzi. Kwa hiyo kufikiri watu watasema nini si vibaya na si kitu cha kuonea aibu. That is how it should be otherwise dunia ingekuwa uwanja wa fujo.. Imgine kila mtu afanye kile anachopenda regardless of neighbors or family or friends. Hata hao wadhungu wanaojidai kila mtu ana mind business yake bado wana vitu wanaita manners na ethics.
Kuna kitu huwa nafikiri lakini sipati jibu... Huwa nafikiri, bila kufuata jamii inataka nini, Je? kuolewa au kuowa ni suala la lazima? Je? unaweza kuwa na maisha mazuri na amani bila ya kuowa au kuolewa? Yaani I mean, kama unataka familia unaweza kumchukua mtoto au watoto yatima ukawafanya wako. Lakini pia, nisingependa ku-complicate issue kwa kuongelea jinsi gani utaweza kukidhi tamaa za kimwili..

Lakini in general..Je? kuna watu wanafuraha na amani bila ndoa? Na pia nisingependa kuchukua mfano wa mtu tajiri kama Oprah Winfrey.
 
Binadamu wa kawaida ni lazima afikirie jamii kabla ya kufanya maamuzi. Kwa hiyo kufikiri watu watasema nini si vibaya na si kitu cha kuonea aibu. That is how it should be otherwise dunia ingekuwa uwanja wa fujo.. .

Nimekupata na nakubaliana na wewe..kwa asilimia nyingi tu..

Lakini je ni kiasi gani tunaweza kuepuka kujifunga kwa jamii na kupoteza uhuru wetu?.. Mfano ..kama mimi binafsi sijisikii na sitaki kuoa m-Korea au mhindi lakini ndugu, kabila na wazazi wangu kama jamii wanalazimisha iwe hivyo..nitafanye?
 
Nimekupata na nakubaliana na wewe..kwa asilimia nyingi tu.. <br />
<br />
Lakini je ni kiasi gani tunaweza kuepuka kujifunga kwa jamii na kupoteza uhuru wetu?.. Mfano ..kama mimi binafsi sijisikii na sitaki kuoa m-Korea au mhindi lakini ndugu, kabila na wazazi wangu kama jamii wanalazimisha iwe hivyo..nitafanye?
Unajua mi nahisi hv vitu vinaendana sana, what we want n what the community want 4rm us. Sikatai kuwa tusifanye vile tunavyojiskia but....
 
Hakuna jibu kama vile 1+1=2. Ila unatakiwa mwenyewe utumie busara yako kubalance. Ukiona ndugu wanakwambia kitu afu hicho wanachokwambia si cha hajabu katika jumuiya yenu fikiri kwanza kabla ya ku ignore. Ila kama wanachokwambia ni unusual bado una uamuzi wa kukataa. Mfano kuna wazazi ambao ni single mothers wanaoishi maisha ya kutegemea mabuzi. Mzazi kama huyo akimshauri binti yake atafute wanaume wenye pesa ili asaidie familia mtoto ana haki ya kukataa kwa sababu jamii kwa ujumla itakuwa pamoja nae kuunga mkono kupingana kwake na mama yake.

Nimekupata na nakubaliana na wewe..kwa asilimia nyingi tu..

Lakini je ni kiasi gani tunaweza kuepuka kujifunga kwa jamii na kupoteza uhuru wetu?.. Mfano ..kama mimi binafsi sijisikii na sitaki kuoa m-Korea au mhindi lakini ndugu, kabila na wazazi wangu kama jamii wanalazimisha iwe hivyo..nitafanye?
 
Hakuna jibu kama vile 1+1=2. Ila unatakiwa mwenyewe utumie busara yako kubalance. Ukiona ndugu wanakwambia kitu afu hicho wanachokwambia si cha hajabu katika jumuiya yenu fikiri kwanza kabla ya ku ignore. Ila kama wanachokwambia ni unusual bado una uamuzi wa kukataa. Mfano kuna wazazi ambao ni single mothers wanaoishi maisha ya kutegemea mabuzi. Mzazi kama huyo akimshauri binti yake atafute wanaume wenye pesa ili asaidie familia
Thats y u will alyz b Nyumba kubwa
 
Back
Top Bottom