Nani anakuvutia zaidi hapa JamiiForums?

Mie sisalimiwi eeh?.....Afu mbona umesalimia wakaka/wababa/wababu peke yao?......sheria za jf si zinakataza ubaguzi wa kijinsia?.....haya upesi nisalimie kabla sijareport abuse!.

Wewe kinachokuuma ni nini?
nimeanza kukumiss mwenzio...hebu rudi kwanza kabla hujaenda kulala kwa nitonye
 
Last edited by a moderator:
Mimi sina ubaguzi mwanifurahisha wote wana chitchat wenzangu. Utadhani nawajua wote, kila mmoja humpa taswira ya sura na umbo lake!! Natoa shukrani za dhati kwa mwanzilishi/waanzilishi wa JF hasa Chit-Chat. Nawapenda wote.
 
kama umenipa taswira mbaya ntakudunda wewe, hadi uhamie almatejooo utoke huko ngaramtoni
 
Back
Top Bottom