Nani anajua kucheza zaidi ya hawa ???

unaowataja hawa, wako wapi, mbona hakuna kitu/picha/attachment????

yaani mtandao wenyewe unasumbua kinomi , kuweka picha . Yaani kuweka picha tu mpaka upige ramli !!! Tunasumbuka keli. Inatunyima raha !!!
 
Hau unafanya mazingaombwe??twambie tufanyeje ili tupatekuona tunatamka neno gani??ndo picha zionekane?
 
Labda hawa

58139142_2d3ad1d404.jpg
 
Back
Top Bottom