Nani anajua hili?

manuu

JF-Expert Member
Apr 23, 2009
4,064
10,723
Naomba kufahamishwa hivi,kama nataka kumzuia kiongozi yeyote yule alie nje ya nchi kutokurudi nchini kwa yale mambo mabaya alietufanyia sisi wananchi wake.
Ni hatua gani naweza kuzichukua ili ashindwe kurudi nchini na badala yake aombe hifadhi kwenye nchi zingine?


Ni hayo tu nitashukuru kwa ufafanuzi wenu.
 
Muweke kwenye target kisha mpe shaba. Angalia avatar yangu kwa mfano.
 
Nenda kaloge matairi ya ndege yasifunguke itashindwa kutua na itarudi zake ulaya
 
Back
Top Bottom