Nani anahusika kupima na kutoa hati katika manispaa

Makanyagio

Senior Member
Jun 25, 2009
125
30
Wandugu wa JF msaada tafadhali. Naomba keleweshwa au kufahamishwa ni nani katika manispaa haswa za Dar es salaam anahusika katika upimaji na utoaji hati za viwanja?
Kwa uelewa wangu mdogo naomba kusahihishwa: manispaa ndio wanaopima na kupitisha ramani na kutoa offer letter ambayo utapeleka Ardhi kupatiwa hati.
iinahitaji muda gani ili mtu uweze kupata hati kisheria? Ukiacha ukiritimba wa uecheleweshaji wamakusudi unaofanywaga na watendaji.
 
Back
Top Bottom