Nani anahusika katika sakata la meli ya samaki wa magufuli?

Paul Kijoka

JF-Expert Member
Oct 25, 2010
1,399
255
Wapendwa wanaJF, poleni na shughuli na Valentine. Naomba mnijuze mhusika wa meli iliyokamatwa ikiwa na shehena ya samaki wetu waliokuwa wanaibwa kila mwaka tangu tupate uhuru.

Je, nani anahusika?
Kesi imefikia wapi?
Ubalozi wa waliokutwa melini umetoa tamko gani?

Naomba kusaidiwa ndg. zangu.
 
Kesi bado ipo makamani

Wanahusika Attorney General's Chambers, Wizara ua Mambo ya Ndani na Wizara ya Mambo ya Nje
 
Back
Top Bottom