Nani anafahamu jinsi ya hack na kutrack mobile number

Mtambo wake full na software ni $2 mill. Una hack,unasikiliza na kerecord in/out going calls na sms. Au ipo ambayo unaistall ndani ya simu unayotaka kuhack bila mwenye nayo kujua,then unatumiwa email yenye atachments za sms na Incoming/outgoing call.myenye simu awezi jua nini kinaendelea
 
hiyo ya kuinstall inamaanisha lazima ushike simu ya huyo mtu kwanza na ndio uendelee kupata info hizo?

ni ipi nitafurahi kuipata
 
Zipo njia nyingi zaku hack sim. ipo muja una instor hiyo program kwahiyo simu ya muusika then unaweka namba yako na eimail yako kila sms itakufikia bila muhusika kujuwa.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom