Nani anaenyoa watu usiku jamani??

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,956
22,144
Hili swali nimejiuliza siku nyingi sana ingawa soln yake ninayo kuna jamaa yangu jana mchana alikuwa amevaa kofia nikamuuliza vipi kunani
umevaa kofia leo akadai ntakwambia baada ya watu kupungua akanionyesha sehemu yakati kuna mtu kama amempitishia kiwembe alafu kimeweka
alama ya l kakwangua kabisa nikamwambia niniakadai alikuwa usingizini akaota xgfirend wake wakiwa sehemu wanakula wakati wakati wanaondoka
akaanza kumwambia aleo ulalai kwa mkeo unalala kwangu akamwambia m nimeoa siweziz kwanza hapa kula tu watu wakiniona shida nimekuheshimu
yule mwanamke akamjibu utaniona..akapanda gari akaenda hme alipofika hme akamkuta mkewe anasali mara ndoto ikaisha akashtuka ..asbh anaamka
kwenda kazizni mama ameshatayarisha chai na mandondo he akamuuliza kulikoni mbona una kipara ...nimemshauri aende kuombewa kwa msaada zaidi

leo nauliza je na wewe ushapewa kipara na ninani anawapa vipara wenzao usiku jamani??

sasa huyo jamaa yako huwa hachani / hatani nywele kabla ya kwenda ofisini.. maana angeona tu kupitia kwenye kioo au angehisi hakuna nywele kitana kingekwangua

lazima uwe unaamini juu ya nguvu za kishirikina kuweza kuruhusu haya majanga kukumba..........................lakini kama huamini hayana nguvu kwako......................it is a question of faith and what you believe in...................................mara nyingi mpenzi wako ndiye mwenye ghadhabu juu yako na hutumia ushirikina kukutishia ili ufanye ayatakayo.........

Huwa inatokeaga! Kuna kaka yangu alishanyolewa mara nyingi sana! Dawa yake siijui, ila huo mtindo wa kunyoana usiku upo tena sana tu na mara nyingi huwatokea sana watu wanaopenda uzinzi.

Mambo ya hovyo kabisa hayo, nilinyolewa miaka 21 iliyopita sehemu ya kichwani karibu na utosi, nywele hazijaota tena.

Ni michezo ya wachawi tu, wanakupa ndoto kama hizo ili wakugombanishe na huyo x wako, nakumbuka nikiwa na mtoto mchanga alinyolea sana tu,ila nilipoita mtumishi akamwombea hayo yote yaliisha
Hili swali nimejiuliza siku nyingi sana ingawa soln yake ninayo kuna jamaa yangu jana mchana alikuwa amevaa kofia nikamuuliza vipi kunani

umevaa kofia leo akadai ntakwambia baada ya watu kupungua akanionyesha sehemu yakati kuna mtu kama amempitishia kiwembe alafu kimeweka

alama ya l kakwangua kabisa nikamwambia niniakadai alikuwa usingizini akaota xgfirend wake wakiwa sehemu wanakula wakati wakati wanaondoka

akaanza kumwambia aleo ulalai kwa mkeo unalala kwangu akamwambia m nimeoa siweziz kwanza hapa kula tu watu wakiniona shida nimekuheshimu

yule mwanamke akamjibu utaniona..akapanda gari akaenda hme alipofika hme akamkuta mkewe anasali mara ndoto ikaisha akashtuka ..asbh anaamka

kwenda kazizni mama ameshatayarisha chai na mandondo he akamuuliza kulikoni mbona una kipara ...nimemshauri aende kuombewa kwa msaada zaidi

leo nauliza je na wewe ushapewa kipara na ninani anawapa vipara wenzao usiku jamani??

Mwambie jamaa yako aache uasherati la sivyo siku watampunyua hata hizo nyeti zake.

haya mambo yapo hatakama huya amini.Kutokuamini hakuzuii usinyolewe!.Kimbia kwa Bwana Yesu haraka yasije kupata makubwa.

upuuzi ....
nini nawe uliwahi
kunyolewa lakini hujui alie kunyoa ...
khaaaaa.. upotofu tuuuu
haya mambo yapo-binasfi nilikuwa nayasikia kama utani-ila juzi kati kuna rafki yangu kaja hapa nae amenyolewa kichwani-nilishangaa sana-ikabid nimshaur aende kuombewa-ALL IN ALL-YANAHUSIANA NA UCHAWI

haya mambo yapo-binasfi nilikuwa nayasikia kama utani-ila juzi kati kuna rafki yangu kaja hapa nae amenyolewa kichwani-nilishangaa sana-ikabid nimshaur aende kuombewa-ALL IN ALL-YANAHUSIANA NA UCHAWI

Kazi kweli kweli...
Haya mambo yaki shirikina..
Ndo siyaamini kabisaa...

Mpe pole rafiki yako....

Back
Top Bottom