Nani anaemhudumia mwenzie kwenye mechi?...nani alipie huduma?

haya mapenzi ya siku hizi uwizi mtupu watu pesa ,mtazamo,anatoa nini ,kazi ipo:Cry:sijui tutafika
 
Onyesha mchanganuo kwanza! usikute gharama unazoongelea ni kalaki kamoja! kuna kiwango unatakiwa wewe buzi ulipe
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom