Nani anaemhudumia mwenzie kwenye mechi?...nani alipie huduma?

mwanaume ni kichwa kwa mwanamke
ni duty yake kulipia kila kitu ata km jamaa kpato chake kduchu ni lazima agharamie MCHEZO
YEs ata demu ndo aliomba pambano stl mwanaume anahitajika kulilipia pambano

Weweee finish, hakuna la zaidi.
 
Mr alipie maandalizi?
Wakati nyie wote mmehusika...mechi ikawa si yakuridhisha...upande 1 ulishindwa...hapo bado anakandamizwa Mr alipie pambano?

Kwwani aliepanga kua ni lazima mechi yeyote ilipiwe na Mr ni nani?
Ilikuaje iwe hivyo?

Inantiza sana!

Kwani ukienda hoteli ukaagiza chakula then usikipende, nani atatakiwa kulipa wewe ulie oda? Au aliekuuzia? Si utalipa wewe hata kama walikupa cha juzi.
 
Kama vipi tafuta wafadhili wagharamie hiyo mechi,kusiwe na hata mmoja ambaye atamlipa mwenzie kati yenu au alipwe yule aliyeshinda.......LOL
Inategemea bwana jinsi mlivyo,kwanza kuna wanawake wengine ukiwalipa wanaona kama umewaona wafanyabiashara wa ngono,wengine bila malipo au vizawadi hutopata tena....it depends,but a decent girl hatopenda malipo kwa kuwa anafanya mapenzi kwakuwa anataka pia so haitaji malipo,ila ukichikua dada poa,no matter how much ume-spend kwenye kuandaa eneo la mechi na kumlisha,kumywesha kabla ya mechi,at the end ni lazima ulipe.
 
mwanaume ni kichwa kwa mwanamke
ni duty yake kulipia kila kitu ata km jamaa kpato chake kduchu ni lazima agharamie MCHEZO
YEs ata demu ndo aliomba pambano stl mwanaume anahitajika kulilipia pambano

raha ipo korea bwana,hata kama umemualika demu, rafiki, ndugu yako bar, pub au hotel basi ujue kila mtu atajigharamia tuu.

acheni kupenda vya bure wa ndugu.
 
Waheshimiwa GT!
Hili linanisumbua sana...naomba kusaidiwa.
Hivi ikiwa wewe Mr umejitahidi kwa bidii zako zote hadi ukamuopoa dem...ukampeleka unapojua mwenyewe ...ukagharamia uwanja wa mechi na huduma zinginezo.
Baadae mechi ikaanza...bila shaka nyie wote timu mbili upande huu na upande ule...mmeshiriki ipasavyo kuhakikisha mnawekeana upinzani wa kutosha ili siku nyingine mechi irudiwe.
Sasa baada ya huo mchezo nani anastahiki kumlipa au kugharamia hiyo huduma?
Ni hayo tu.

Mkuu Mr si ndio mdhamini wa pambano iweje agharamie kote aje kutatizwa na kutoa kifuta jasho ili kuweka mazingira mazuri ya pambano la marudiano?
Issue ya wote kuburudika haiondoi dhana nzima ya wewe kama mdhamini mkuu.
Na kukuthibitishia hilo hata kama ikitokea ukapenda jumla na ukataka kumdhamini mbele ya kasisi au shekh basi ni wewe Mr utatakiwa kumnunua toka kwao kwa mahari na kudhamini shughuli nzima ya harusi
 
Kwani ukienda hoteli ukaagiza chakula then usikipende, nani atatakiwa kulipa wewe ulie oda? Au aliekuuzia? Si utalipa wewe hata kama walikupa cha juzi.

Chakula umekula peke yako.
Kiwa umekula na mwenzio labda....!

kama mechi ikiwa umeicheza peke yako (masturbation) hapo naona ni haki yako uilipie mwenyewe.

Hii mechi washindani ni wawili...iweje ilipiwe na upande mmoja(Mr) ?
 
mh! Sasa naona wanaJF sasa topic zingne ni kama kuzalilishana 2uu kma so ku2kanana live mana mpk kufikia huku dah? Okay lakn ila 2jalibu kuangalia na mambo ya kuuliza yana2jenga au yanamantiki kwny maisha 2sizungumze kama 4funny mana hayana msing mfano topic kama hii inamaana gan sasa kama umeuliza ulitakiwa umuulize demu wako au mke wako kama anafaidika au unafaidika thnk twice
 
Kwani ukienda hoteli ukaagiza chakula then usikipende, nani atatakiwa kulipa wewe ulie oda? Au aliekuuzia? Si utalipa wewe hata kama walikupa cha juzi.

jibu zuri sana hili bad luck hakuna kitufe cha thanks
 
mh! Sasa naona wanaJF sasa topic zingne ni kama kuzalilishana 2uu kma so ku2kanana live mana mpk kufikia huku dah? Okay lakn ila 2jalibu kuangalia na mambo ya kuuliza yana2jenga au yanamantiki kwny maisha 2sizungumze kama 4funny mana hayana msing mfano topic kama hii inamaana gan sasa kama umeuliza ulitakiwa umuulize demu wako au mke wako kama anafaidika au unafaidika thnk twice

kama unaona haikufai waweza kaa kimya kama hutajali
 
haujapata moto ww!! ukishapata moto mbona pambano utalilipia bila kuulizwa!!
 
Ila kabla ya malipo lazima mtathimini mechi ilivyokuwa na kama nyenzo zilitumika ipasavyo,isije ikawa kirusi kakuachia na bado umemlipa.
 
mh! Sasa naona wanaJF sasa topic zingne ni kama kuzalilishana 2uu kma so ku2kanana live mana mpk kufikia huku dah? Okay lakn ila 2jalibu kuangalia na mambo ya kuuliza yana2jenga au yanamantiki kwny maisha 2sizungumze kama 4funny mana hayana msing mfano topic kama hii inamaana gan sasa kama umeuliza ulitakiwa umuulize demu wako au mke wako kama anafaidika au unafaidika thnk twice

Kwani humu mjadala haufai?
Sikushangai hilo jina lako limenifurahisha!
**Kuzalilishana**
Ndio vipi?
 
Ndo kama hivyo...........mechi haiwi tamu kama hujaihangaikia walau kidogo na kupata viji gharama/hasara vya hapa na pale.
 
mimi nafikiri, wa kuchangia gharama zote (kabla, wakati na baada ya) mechi inabidi iwe ni yule mwenye uwezo zaidi, na bila ya shaka ndiye aliyefanikisha mpango mzima wa mechi. kwani kama huna uwezo huwezi kupanga mechi na mtu yeyote LOL
 
Nimeipenda hii.
 
Back
Top Bottom