Nani ana taarifa za shabiki kuchomwa kisu?

Hmaster

JF-Expert Member
Dec 27, 2010
346
86
Wakati nafuatilia habari za michezo kupitia taarifa ya habari ya channel ten mtangazaji alidokeza kuwa kuna shabiki mmoja alichomwa kwa kisu na kufa kariakoo kutokana na ushabiki baaada ya mechi kati ya simba vs mazembe. Hata hivyo taarifa hiyo ilikatishwa kiaina kwa kuingizwa habari nyingine ya michezo. Cha kushangaza hata leo sijaona gazeti lolote limeandika habari hii: swali ni je habari hii inafichwa? Na kama inafichwa ni kwa faida ya nani? Mwenye undani kuhusu hilo tafadhari atujuze na wengine!:drum:
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom