Nani ana mashabiki wengi kati ya simba na yanga?

Ooya shwalii kwa mtazamo wangu nafikiri ni Dar young africa kwani sehemu nyingi nilizopita, ukanda wa ziwa, juu kusini kuna wakijani lukuki ukimake comparison na wekundi, dat iz

Tehtehteh Ndugu yangu naona unafananisha Vibanda vya CCM na Yanga sasa tehtehteh uwe ukipita unashuka labda macho mabovu nakutizama tofauti.... na Safarihii (Y)Wanga wote wataliwa na Simba.
 
KUNA M Ghana alinifata akaniambia My Blada Ayu fromu Tansaniaaaaaaa ah? nikamwambia Yes Oh my God My Blada Do u Know Simba Sports Club nikamwambia yes That team is the Best.
Nimecheka hii lafudhi. Umewapatia kweli. Mnigeria na yeye alikwambiaje? Well Simba ni wengi!
 
Mimi ni shabiki wa Simba kwa zaidi ya miaka 35 sasa. Lakini nakubaliana na wale wanaosema Yanga iko na mashabiki wengi. Mashabiki wake wengi ni walalahoi na ni wabishi sana!
 
Mimi ni shabiki wa Simba kwa zaidi ya miaka 35 sasa. Lakini nakubaliana na wale wanaosema Yanga iko na mashabiki wengi. Mashabiki wake wengi ni walalahoi na ni wabishi sana!
Mkuu umenena vema hata mm ni mwanachama wa simba but watani wana mashabiki wengi kuliko simba,ila kuna angalizo moja,yanga wana mashabiki na wapenzi wengi kuliko simba but simba ina wanachama wengi kuliko yanga unajua kwann,yanga pamoja na kupendwa ila ununuaji wa kadi za uanachama upo mdogo na hata kama utakuwepo ulipiaji ni tatizo kama utakumbuka manji aliwahi walipia wanachama cos ya ulalahoi wao,simba wanachama ni wengi na wanauwezo wa kulipia kadi zao,all ina all kwa uwingi wa mashabiki na wapenzi yanga wapo juu kuliko mnyama
 
Tehtehteh Ndugu yangu naona unafananisha Vibanda vya CCM na Yanga sasa tehtehteh uwe ukipita unashuka labda macho mabovu nakutizama tofauti.... na Safarihii (Y)Wanga wote wataliwa na Simba.
nop ni kwa mtazamo wangu na sasa we ndo uliyeanza kuingiza suala zima la unazi hapo.
 
Ni ngumu kupata idadi kamili nani ana mashabiki wengi!Mashabiki hupatikana kutokana maendeleo ya timu.Mfano watoto waliozaliwa miaka ya 90 wengi ni Man U,Chelsea na Arsenal lakn Liverpool ni wa kuhesabu coz ktk miaka hii haina maendeleo mazuri sana.So idadi inategemea na perfomance ya timu kwa miaka husika.
 
Yanga timu wananchi
simba timu ya wafanya biashara wa kkoo,(wahindi na waarabu)
 
SIMBA MPANGO MZIMA WEWE
27535_79898749278_389_s.jpg
 
yangaaaaa ipo juu,smba inapendwa zadi na kinadda coz nyekundu ni symbo yao,means wanfata rangi yao.mfano muangalie huyo *bebii hapo juu
 
KUNA M Ghana alinifata akaniambia My Blada Ayu fromu Tansaniaaaaaaa ah? nikamwambia Yes Oh my God My Blada Do u Know Simba Sports Club nikamwambia yes That team is the Best.

Basi huyo Mgana alizaliwa majuzi angekuwa mkongwe angejua Asante kotoko ilikumbana na kisiki kipi mpaka leo kimeacha historia..kwa ufupi yanga ndiyo yenye mashabiki wengi
 
Tukiacha unazi na ushabiki ukweli ni kwamba sio rahisi kujua nani mwenye washabiki wengi ila tofauti siokubwa sana lakini yaidi ya yote hakuna la kujuvunia kwa pande zote hizo mbili kwani si Simba wala si Yanga ambayo wameweza kutumia mtaji wa mashabiki wao kwa maendeleoya klabu hizo.ni Bora kuwa na mashabiki 2 wenye tija kuliko kuwa na mashabiki 10 wasio na tija.
 
"Daima mbele,nyuma mwiko
kama ni mhudhuriaji mzuri wa mechi za watani wa jadi utajua vizuri,coz jukwaa la yanga ndio la kwanza kujaa simply means that watoto dar young tupo wengi"
simba kule kweupeeeeee
 
Mkuu umenena vema hata mm ni mwanachama wa simba but watani wana mashabiki wengi kuliko simba,ila kuna angalizo moja,yanga wana mashabiki na wapenzi wengi kuliko simba but simba ina wanachama wengi kuliko yanga unajua kwann,yanga pamoja na kupendwa ila ununuaji wa kadi za uanachama upo mdogo na hata kama utakuwepo ulipiaji ni tatizo kama utakumbuka manji aliwahi walipia wanachama cos ya ulalahoi wao,simba wanachama ni wengi na wanauwezo wa kulipia kadi zao,all ina all kwa uwingi wa mashabiki na wapenzi yanga wapo juu kuliko mnyama

si kweli kama usemavyo kwa takwimu za mwaka jana Yanga ina wanachama wengi kuliko Simba ila mashabiki na wapenzi kwa kweli sifahamu kama kuna viongozi wa klabu hizi wamo humu jf tunaomba watupe majibu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom