Nani ana mashabiki wengi kati ya simba na yanga?

The Magnificent

JF-Expert Member
Jan 6, 2011
2,694
1,247
Ndugu zangu wanaJF,kwa muda mrerfuu sasa nimekua nikijiuliza nani ana mashabiki wengi kati ya klabu zetu kongwe hizi mbili,bila kutumia unazi,ushabiki wala upenzi wa timu hizi mbili,naomba nisaidiwe kufahamu!!
 
Kuna thread ipo hapa JF yenye title hiyo, js search na utaipitia ujue.
 
Kwa kawaida wanachama hujiandikisha na hivyo kuwa kwenye rekodi cha timu. Ni vigumu kupata takwimu sahihi za shabiki wa timu maana ni mambo yaliyojificha rohoni mwa mtu. Niliwahi kukaa karibu na mashabiki wa simba siku ya fainali ya mechi ya Stela mwaka 1993. Kwa kuogopa uwezekano mkubwa wa kupata mkong'oto ilibidi niigize nina huzuni kwa kukaa kimya (japo moyoni haikuwa hivyo)wakati Simba ikicharazwa kwa Goli za Boli ZOZO. Ungeniangali ungefikiri na mimi ni shabiki wa simba wakati sio. Nakushauri uwasiliana na Shehe Yahaya pengine anaweza akakutabiria.
 
Ushuhuda wa kweli.Thanks.
 
obviously YANGA ndio club pekee tanzania yenye mashabiki wengi zaidi, mfano mdogo 2, juz yanga imechukua ubingwa wa tz bara, mpaka ikatangazwa bungeni nadhani ulishuhudia wabunge walivyo shangilia. Jibu unalo mpaka hapo.
 
Soma kwa makini na tafakari! Hujaulizwa timu yenye mashibiki wengi bungeni!
 
ukiwe unazi pembeni ni vigumu sana kupa jibu sahihi..ila ukiniuliza mimi nitakwambia simba sababu mkoa nilipo simba ikifungwa magazeti ya michezo yatawadode wauzaji lakini ikiwa kinyume saa tisa yameisha hasa zinapokuwa zimekutana..hata shamrashamra inapokuja simba ni kumbwa mno tofauti na yanga inapokuja...
 
Dar es salaam young africans!....African association ilikuwa na tawi la michezo linaloitwa African sports(zanzibar/tanga),toto africans(mwanza),African temeke(mwembe yanga) and so forth....yanga ipo tanzania nzima!
 
Timu gani inawashabiki wengi zaidi....
 
Ooya shwalii kwa mtazamo wangu nafikiri ni Dar young africa kwani sehemu nyingi nilizopita, ukanda wa ziwa, juu kusini kuna wakijani lukuki ukimake comparison na wekundi, dat iz
 
KUNA M Ghana alinifata akaniambia My Blada Ayu fromu Tansaniaaaaaaa ah? nikamwambia Yes Oh my God My Blada Do u Know Simba Sports Club nikamwambia yes That team is the Best.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom