Nani Ana Hukumu Za Mashauri Haya?

SEBM

JF-Expert Member
Mar 7, 2012
495
325
Wakuu,
Naomba kama kuna mwenye nakala ya hukumu za mashauri yafuatayo;
1. Shauri la Uchaguzi Igunga
2. Shauri la Uchaguzi Sumbawanga Mjini
3. Shauri baina ya Serikali na Walimu (hili la mgomo wa juzi)
4. Shauri baina ya Serikali na TUCTA (Mgomo wa 2008 nadhani)
5. Shauri baina ya serikali na Madaktari (mgomo)

Asanteni
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom