Nani ana habari juu ya alipo Kainerugaba Msemakweli?

BBJ

JF-Expert Member
Sep 2, 2011
1,181
160
Jamani wa JF naomba kuuliza,nani anahabari kuhusu alipo KAINERUGABA MSEMAKWELI,na muendelezo wa ile issue ya mafisadi.Au ndio imeshawekwa kapuni kama kawaida yao ya kulindana?
 
Aaaah jamani ni swali la msingi sana kwasababu ye ni Mtanzania na ana haki ya kuwaulizia wapigania uhuru na haki tanzania Hata mimi naomba kuuliza same Question,, na Kama Ametekwa tujuzeni tukamtoe
 
Nilimwona juzi jumatatu kituo cha kwenda Mwenge pale posta mpya akisubiri daladala nikamwambia mke wangu kuwa huyu jamaa kweli ana hatari kweli maana nilitegemea awe mtu wa kujificha lakini yeye yupo hadharani tena stendi!
 
hana lolote mnafiki mkubwa alikuja kusafisha baadhi ya watu keshafanya kazi yake hutamsikia tena.
 
Aaaah jamani ni swali la msingi sana kwasababu ye ni Mtanzania na ana haki ya kuwaulizia wapigania uhuru na haki tanzania Hata mimi naomba kuuliza same Question,, na Kama Ametekwa tujuzeni tukamtoe

tukamtoe au ukamtoe???
 
Back
Top Bottom