Nani ANA FURAHA?

NGULI

JF-Expert Member
Mar 31, 2008
4,803
637
Kati ya MASIKINI (wa mali sio akili) na TAJIRI

MASIKINI-Kuishi maisha chini ya elfu moja na mia mbili hamsini($ 1)

TAJIRI- Kuishi maisha ya kujitosheleza na hata kuwa na ziada(Abundant)
 
Masikini anafuraha nadhani kuliko tajiri kwa mtazamo wangu
 
Wale wa kati ambao sio tajiri na wala sio maskini ndo wanao faidi hii dunia maana hata totoz za uswazi iwa zinawapapatikia sana.
 
Kati ya MASIKINI (wa mali sio akili) na TAJIRI
kila mtu (masikini au tajiri) anafuraha kwa viwango tofauti tofauti...

Pia inategemea kwa mfano utajiri ameupataje! Kama aliupata utajiri kwa kudhulumu basi furaha haipo tena bali ni woga na wasiwasi wa kulipiziwa kisasi!

Kama ni umasikini wa tangu kuzaliwa na mtu kama huyo hana namna yeyote ya kujikomboa basi hakuna shida mtu kama huyo ataishi kwa 'matumani' tena kwa amani.

Kama umasikini umetokana na kufilisika utajiri aliokuwa nao basi mtu kama huyo kwake ni huzuni daima!

Have fun!
 
Mi niacheni tu niwe tajiri. Bila kujalisha utajiri nimeupata wapi! All I want is MONEY!
 
hoja pana sana hii mpwa...masikini ni nani na tajiri ni nani?
Mimi naungana na Kaizer, ili tuweze kuijadili vizuri hii hoja hatuna budi kuwa na maana nzuri ya hizi terms mbili MASIKINI na TAJIRI, kwa sababu watu wengi bado hatujui masikini ni nani na tajiri ni nani.
 
Huu mkao unaitwa pauka pakawa vp umeupenda?
Mmmh hiyo pauka pakawa inawachanganya watu, inabidi ubadili huo mkao maana Chrispin kaanza kuhesabu kuna kitu anataka kufanya. Tusubiri tuone atakapofikisha....1........mweee.....sijui anataka kufanya nini!!!!!!
 
Hahaha! Binamu bana! Najua unajua ntakachomtendea sisteri wangu! Hehehe! LOL!
 
Mimi naungana na Kaizer, ili tuweze kuijadili vizuri hii hoja hatuna budi kuwa na maana nzuri ya hizi terms mbili MASIKINI na TAJIRI, kwa sababu watu wengi bado hatujui masikini ni nani na tajiri ni nani.

Edited tayari.
 
Back
Top Bottom