Nani Amewahi Kuvaa VIP Underware?

Emc2

JF-Expert Member
Sep 26, 2011
16,808
16,835
Mimi mmoja wapo. Zilikuwa hazichelewi kukatika katikati.
Basi ikikatika ndio balaa. Ukivaa itaanza kupanda taratibu mpaka itafika kifuani.
Je mnazikumbuka wana JF
 
unafanya sensa kujua ni wangapi na akina nani waliowahi kuzivaaa? sijapata mantiki ya swali lako japo mimi ni mmojawapo kati ya waliowahi kuzivaa, ni nzuri sana maana zinakamata vizuri vyombo ila tatizo ndio hilo ulilolieleza kugeuka kuwa sidiria.
 
nakumbu sana, siku moja wakti niko board seco twacheza mpira nastukia nimevaa mkanda tumboni, kuangalia kumbe kamekatika kati, enzi hizo twacheza fuagemu, palikuwa patam hapo madem kibao.
 
nakumbu sana, siku moja wakti niko board seco twacheza mpira nastukia nimevaa mkanda tumboni, kuangalia kumbe kamekatika kati, enzi hizo twacheza fuagemu, palikuwa patam hapo madem kibao.

Vipi yakhe? Habari za Kiembe Samaki yakhe? Pole kwa masahibu ulopata ya VIP!
 
Zilikuwa balaa,nakumbuka nikuwa nacheza mpira harafu timu yng tulikuwa tumevua mashati,si unajua uswazi!,basi nilishtukia iko kifuani.
 
Haa haa haaaaa....... Hizi kitu zilikuwa balaa hadi zikapewa kirefu chake VAA IKUBANE PUMB*
 
Tukiwa mpirani jamaa mmoja alivua shati na kucheza akiwa na bukta tu mara akajikuta akiwa na kitop/ braa.
 
unafanya sensa kujua ni wangapi na akina nani waliowahi kuzivaaa? sijapata mantiki ya swali lako japo mimi ni mmojawapo kati ya waliowahi kuzivaa, ni nzuri sana maana zinakamata vizuri vyombo ila tatizo ndio hilo ulilolieleza kugeuka kuwa sidiria.

Nadhani ni underwear.....tweh tweh tweh..........
 
shekh umenikumbusha mbali sana kama kuna mtu alisoma usagara secondary miaka ya 84 mpaka 88 kuna jamaa aliaandaa picnic ya house akaalika mpaka watu wa nje ambao sio wanafunzi. akaleta gari 2 hazikutosha akaamuwa aondoke bila muafaka jamaa mmoja alimshika kwenye flaiz huku yeye akining'inia kwenye ngazi kifungo kikaachi na zipu suruali akawa vipande viwili hiyo VIP huwezi juwa ni rangi gani na mademu wapo wanaangalia. jamaa alipiga wiki nzima haji skuli
 
Back
Top Bottom