Nani ameshawahi kuomba mkopo hlssf?

elmshash

Member
Jul 29, 2012
8
5
nimepitia website yao wamejieleza vizuri sana ila sitaki kukurupuka nataka kufahamu kwanza kama kuna mtu yoyote humu aliewahi kupata mkopo kupitia kwa hawa jamaa ili kidogo anipe data kadhaa. MSAADA TAFADHALI.
 
Hawa jamaa wako makn,kuna dogo ameniambia aliwah kutuma maombi yake,wamempgia simu kumtaarifu kwamba wamepokea form yake na majibu ya successful applicants yatatoka wkt wowote kuanzia sasa.
 
Watu wana mbinu za kutengeneza pesa hapo wakati wanaanzisha wametarget wataokosa mikopo ambao zaidi ya 10,000 kwahyo wanauhakika wa kupata zaidi ya mil200....ktk hizo wakitoa majina feki 2000 na kuwapa 50 mil3 mkopo,next year watapiga hela sana hawa!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom