hata mwigulu akili zimemrudi, aliyebakia ni Lukuvi na wasira.
Hajalogwa anasimamia taaluma yake ya sheria sio kufuata matakwa ya wanasiasa!
Hongera Prof.
Mkuu slow down... uzi wa long time huu... Nyakati zile tukubali alikuwa amelogwa ... Baada ya Kumua Prof Mvungi, imemzindua na sasa amedhamiria kuizika CCM ... Kabudi Bonge la Jembe ....
ok boss!! i remember! kawateketeza maccm leo
Kila goti litapigwa mbele ya c.c.m,
Mnakakumbuka kamjadala haka?
Huu ni mwaka wa maadui wote wa tanzania kujitokeza, watanzania tuwe makini sana nao, uprofesa usiwe sababu ya kuwaonea hayaAlipoingia kwa mara ya kwanza darasani kunifundisa Family Law niliamini kweli niko zchuo kikuu na ninafundishwa na GURU mwenye uwezo mkubwa, na baada ya kufundishwa nae kwa muda mrefu sikuamini kama kuna mtu Tanzania ambaye anaweza kuwa na uwezo mkubwa katika maswala ya sheria za familia kwa wakati ule zaidi yake.
Naikumbuka sauti yake kali na maelezo yake yasiyobabisha nakumbuka pia wanafunzi wengi waliopendelea kukaa viti vya mbele walilalamika kuwa Palmagamba alikuwa ananyesha sana, yaani akiongea anatoa mate huku na huku hilo sikulishuhudia kwani nilikuwa napendelea kukaa nyuma kama ilivyo mila yetu kuwa kijana wa kichaga unakaa nyuma ya familia ili kuilinda na kuhakikisha familia inakuwa salama sio uhuni kukaa backbencha.Siamini mtu mahiri ambaye mara zote darasani aliiponda serikali na kuwaponda watendaji wake
Mwalimu ambaye hakuna hata siku moja laiyowahi kusema zuri juu ya serikali na katiba yake,kila siku akijadili katiba alionyesha mapungufu makubwa juu ya katiba iweje leo ausifie mswada mbovu LAZIMA AMELOGWA na huku ni kulogwa kwa kununuliwa na SHILINGI.
Alipoingia kwenye siasa za kinafki na kuanza kuchambua hoja ya mgombea binafsi kinafki bila kusema ukweli kwa wananchi niligundua kuwa mwalimu wangu sasa ana njaa ,na ameamua kutafuta umaarufu mwingine zaidi ya ule uliotukuka aliokuwa nao.Nilifikiri labda anajiandaa kugombea ubunge sehemu fulani au ameahidiwa Uanasheria mkuu.
Wiki iliyopita nilishangaa sana kumuona mwalimu huyu wa Family law akiungana na adui yake mkubwa Jaji wa zamani wa mahakama Kuu kitengo cha biashara kwa kuteatea mswada mbovu wa katiba unaopelekwa bungeni kwa nguvu ya mafisadi na serikali isiyosikiliza maoni na matakwa ya watu waliowapeleka madarakani,""hii si sawa na ni lazima itambulike kuwa wanasiasa nyie ni watanzania pia na huu mswada unawahusu zaidi nyie"" Haya ni baadhi ya manene yaliyomtoka Guru wa sheria za kifamilia na kunifanyua nijiulize ni nani aliyemloga Guru huyu??
Naomba kumshauri mwalimu wangu kuwa kwa sasa amebaki peke yake mtaalamu na msomi anayeitetea CCM,aangalie sana isije ikawa mwaisho wa wema wake unafikia kuwa mwanzo wa ubaya wake.
Mabadiliko tunayoyataka ni lazima yaje kwa nguvu au kwa hiari Mkapa alisema HAKI HAIOMBWI INADAIWA NA IKISHINDIKANA INAPIGANIWA, tutaidai haki yetu hata kwa kuipigania.
Huyo Jamaa ni mtu wa system na alikuwa muhandishi wa magazeti ya CCM. Usitegemee jipya kutoka kwakeHuu ni mwaka wa maadui wote wa tanzania kujitokeza, watanzania tuwe makini sana nao, uprofesa usiwe sababu ya kuwaonea haya
A mere family law professor can't tell anything about matters of national concern. You may just imagine....!!!
....Kabuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuudiiiiiiiiiiiiiiiiii! KARUDI! Leo kama CCM hawajamwelewa NTAWASHANGAAAAAAAAAAAAAAA! Nawashauri Wajumbe wa BONGE la katiba waisome RANDAMA pamoya na RASIMU ya Katiba MPYA ibara za 6, 8, 10 na 15 KWA PAMOJA kabla hawajarudia kuwatukana kina Sinde. Yaani kwa Ung'eng'e: They should ready CROSS SECTIONALLY all these artlicles.
Alipoingia kwa mara ya kwanza darasani kunifundisa Family Law niliamini kweli niko chuo kikuu na ninafundishwa na GURU mwenye uwezo mkubwa, na baada ya kufundishwa nae kwa muda mrefu sikuamini kama kuna mtu Tanzania ambaye anaweza kuwa na uwezo mkubwa katika maswala ya sheria za familia kwa wakati ule zaidi yake.