Nani amekiua kiwanda cha kutengeneza magari aina ya nyumbu Kibaha Pwani Tanzania?

Salehe Ndanda

Member
Jun 15, 2009
41
3
You know, Tanzania tumewahi kutengeneza GARI' aina ya 'NYUMBU' Kikosi cha jeshi nyumbu kibaha Pwani. Magari hayo yapo kama ujawahi kuyaona nenda katika maonyesho ya nane nane utayakuta. Nani kaua kiwanda hicho? mpaka sasa tungekuwa tumetoa matoleo mangapi ya gari?

hivi hawa wazungu wanatutakia mema kweli? unamuona rafiki yako msingi wake unakufa wewe unaangalia tu , wakati unaweza kumsaidia. SINA MAANA KWAMBA WAZUNGU NDIO WAMEUA KIWANDA CHA NYUMBU RAAA ASHA, KWANINI WASITUSAIDIE KISIFE? hawa wazungu wanataka MADINI TU. SERIKALI YETU KILA SIKU WANANUNUA MAGARI YA KILA AINA, AFRIKA YA KUSINI WANATENGENEZA MAGARI KIUCHUMI HATUWAPATI LAKINI WAO WANAUMEME WA UHAKIKA WANAUMEME WA NUCLEAR THUS WHY UMEME HAUKATIKI OVYO.
NANI KAUA KIWANDA CHA NYUMBU?
 
level of serious ktk innovation and to put the product ktk soko ni kidogo!
seriousness kweli ni ndogo-haiwezekani magar ya nyumbu tangu those days hadi leo-bado wameshindwa kuyafanya yatembee mitaani-
mimi nilikuwa nikiyasikia-lakini ni muda sasa siyasikii tena,hata ukiangalia kweli majarida ya jeshi kama ulinzi na vijanaleo sioni hizi taarifa zinazohusu magari ya nyumbu-
 
Hahahaaaaa, wahindi tulianza nao, leo wanatuuzia TATA safi kabisa. Ukosefu wa utashi wa kisiasa, ubunifu na moyo wa kujitolea. Nilienda kwenye maonyesho ya Jeshi yaliyo fanyika air wing ukonga niliona gari moja safi kabisa ya nyumbu. Yule mtoa maelezo wao alikuwa jamaa moja ya masasi Mtwara aliniambi sabasaba iliyo fuata wangetoa magari 7 kwa ajili ya kuyauza, lakini sikuyaona. Ila ukipata picha ya hayo ya miaka ya mwanzo ya 2000 ukiweka kwenye forum ya jokes hautakuwa umekosea. Nikichekesho tosha.
 
NYUMBU IMEUWAWA (pamoja na mambo/sababu nyingine) MIMI NA WEWE , HATUNUNUI BIDHAA YETU ITAIENDESHA VIPI? TTCL,ATCL,TRCL,URAFIKI,KIBO MATCH,KIBUKU na kadhalika....! "MIMI SINA UTAMADUNI WA KUNUNUA BIDHAA YA NYUMBANI, SIILINDI NA BIDHAA SHINDANISHI HATA KAMA BIDHAA HIYO INAZIDI UBORA NA KUTONDOLEWA KODI ....MIMI NI MUHUSIKA NAMBA MOJA WA KUUWA KIWANDA CHA NYUMBU NA VIWANDA VINGINE VYA KIZALENDO"
 
lakini pia wawekezaji wabovu ndo wanaoua kampuni za hapa tz kuliko hata sisi wateja
 
nimejaribu ku-google-nimepata baadhi ya picha za nyumbu
nyumbu.jpeg
nyumbu1.jpeg
nyumbu2.jpeg
 
Nyumbu imeuwawa na ufisadi wa procurement katika idara za serikali na jeshi.Maofisa wanapend kununua badala ya kuwekeza katika R&D(Reserch and Development)-kwa ajili ya 10%.
This is the problem pure and simple.
 
Embu turudi tuijadili i issue afu nashangaa ivi vitu kwenye civics amna ila kwenye history kuna bomu la kwanza la nuclear..... is it helpful kujenga patriotism kwa raia maana wengi ya watoto wetu awajui ata km tushawai kusuka engine za gari

Baraza la elimu tz u screwd up

Toeni history leteni civics mpaka vyuo
 
kipo! wanatengeneza gari za zimamoto sasahiv! hongera zao! JPM awape uwezo kielimu engineers wao na apunguze kujaza wanajesh wanaua kiwanda maana sio watu wa kushinda kiwandani ni wapiga soga na wachonganishi! Mwalimu hakuwa mjinga kuweka RAIA hapo! aliona mbali! hakuna mwanajesh anafanya research duniani! hata mavifaru ya marekan yanatengenezwa na kampuni tu
 
Wanatengeneza au wanafanya Assembling tu vifaa walivyopokea!?
 
kipo! wanatengeneza gari za zimamoto sasahiv! hongera zao! JPM awape uwezo kielimu engineers wao na apunguze kujaza wanajesh wanaua kiwanda maana sio watu wa kushinda kiwandani ni wapiga soga na wachonganishi! Mwalimu hakuwa mjinga kuweka RAIA hapo! aliona mbali! hakuna mwanajesh anafanya research duniani! hata mavifaru ya marekan yanatengenezwa na kampuni tu
Unajua lkn Jeshini kuna Department ya Research and Development(R&D)?
 
Back
Top Bottom