Nani ameajiriwa kwenye law firm, au ana-run law firm?

Ramthods

JF-Expert Member
Jun 2, 2009
515
186
Habari zenu wakuu,

Nina uhitaji mkubwa sana wa kujua jinsi law firm inavyo operate daily processes zake. We are a team of software programmers developing a package for a law firm. We need assistance from a person who knows the workings quite well.

We are ready to team up with any person willing to cooperate! (Siyo programmer wala haitaji kujua kuhusu hilo wakuu)

Ni PM au tundika post hapa tuwasiliane fresh, tufanye kazi pamoja!
 
Nina uhitaji mkubwa sana wa kujua jinsi law firm inavyo operate daily processes zake. We are a team of software programmers developing a package for a law firm. We need assistance...

Nini kimekufanya uamue kuandika program ya law firm kama hujui jack squat kuhusu operation ya law firms?

Msalie mtume!
 
Nini kimekufanya uamue kuandika program ya law firm kama hujui jack squat kuhusu operation ya law firms?

Mkuu, bora umenikumbusha hili maana sikuli-mention.

One of our members ameenda abroad kidogo kuongeza shule, we just need a replacement
 
Hakuna standard format kwa maana kila firm ina speciality yake.Hata hivyo kuna mambo mengine ni standard kama namna ya kuweka accounts, malipo ya kodi, matumizi n.k.Pia kuna record keeping - yaani kufungua mafaili ya kesi, legal opinions etc.Nendeni mkaulize through a mini survey.. au kama mnao wateja tayari basi muwaulize mahitaji yao ili ku tailor/customize.
 
Mpaka sasa hivi ulitakiwa uwe umefanya research - angalau kwenye mtandao tu- na kuja na maswali yaliyo interesting.

Swali lako linakufanya uonekane kama vile unataka watu wakuanzishie from scratch, unajionyesha kama mvivu wa kufikiri na kuuliza maswali wakati kila kitu kipo online.Hili ni swali la kuuliza enzi za paper processing, online processing ungeshakuwa na maswali meaningful.

Ndiyo maana mjomba Dilunga anakwambia kitu gani kilikufanya utake kutengeneza software ya industry usiyoijua chochote?

Kama ni ScRIpT KidDDiE anayetaka kutengeneza project ya shule nitaelewa, lakini kama pro inabidi uprogram your programming kabla ya kuanza kuprogram kwanza, with a pen and a paper, forget the computers.
 
Blueray, we are still in paper work, so you are not wrong.

Before we dive into research, we need a person to work with very closely who will feel as part of the project. All in all, you need to get prepared before you start asking questions!

Another thing you seem to be right, this is a project beginning from scratch. We are organizing our thoughts, and would want to work with someone with more insight about the field than we already have.
 
...we are still in paper work, so you are not wrong.

Another thing you seem to be right, this is a project beginning from scratch. We are organizing our thoughts, and would want to work with someone with more insight about the field than we already have
.

Kitendo cha kujiuza kama mtengeneza website na software halafu website lenu liko down ni skandali!

Unaweza kuwa unaua biashara badala ya kuijenga, hususan kwa jinsi unavyo ongea ongea.

Halafu kampuni yako inajiuza kama ni ya kutengeneza customized software kwa mteja, sasa kwa nini usiwasiliane na huyo mteja, kama alivyosema mchangiaji TheWomanofSubstance?

Kama umepata mteja halafu akaona unakuja kupiga yowe JF atakimbia, na atashauri jamaa zake wacheze mbali!

Pia, rekebisha haya makosa madogo kwenye matangazo yako, yanaweza kuhukumu uwezo wa Acrovinet:
Acrovinet.com said:
custome web designing

your business phylosophy

develop softwares

accross the East Africa

solution that matches with your practises and goals...

Mwl. K. Nyerere Pension Towers

Ni dhambi kwa mtengeneza software kutojua kwamba hakuna neno softwares, na ni kosa la jinai kwa anaeuza custom tailored services kukosea neno custom! Katika masoko ya nchi nyingine, wangehukumu biashara yako kwa hilo tu. Na sasa Wakenya wanakuja kushindana kwetu, tunaambiwa wao kwao himaya ya Malkia ilikaa sana, wanajua "yai" la kuandika. Othiong'o labda asingeweza ku eff up biashara yake kwenye website yake hivyo.
 
Kitendo cha kujiuza kama mtengeneza website na software halafu website lenu liko down ni skandali!

Unaweza kuwa unaua biashara badala ya kuijenga, hususan kwa jinsi unavyo ongea ongea.

Halafu kampuni yako inajiuza kama ni ya kutengeneza customized software kwa mteja, sasa kwa nini usiwasiliane na huyo mteja, kama alivyosema mchangiaji TheWomanofSubstance?

Kama umepata mteja halafu akaona unakuja kupiga yowe JF atakimbia, na atashauri jamaa zake wacheze mbali!

Pia, rekebisha haya makosa madogo kwenye matangazo yako, yanaweza kuhukumu uwezo wa Acrovinet:

Ni dhambi kwa mtengeneza software kutojua kwamba hakuna neno softwares, na ni kosa la jinai kwa anaeuza custom tailored services kukosea neno custom! Katika masoko ya nchi nyingine, wangehukumu biashara yako kwa hilo tu. Na sasa Wakenya wanakuja kushindana kwetu, tunaambiwa wao kwao himaya ya Malkia ilikaa sana, wanajua "yai" la kuandika. Othiong'o labda asingeweza ku eff up biashara yake kwenye website yake hivyo.

Ramthods,

Dilunga hapa kazungumza ukweli mtupu though unaweza kuwa unauma kwa upande wako bt ukiuchukulia kama changamoto nina uhakika utafanikiwa sana katika business yako mkubwa!

Pili, kama mchangiaji mmoja alivyosema hapo juu, kama mnalenga lakumtengenezea hiyo software a specified client kwa nini usikae na huyo client akakueleza wao kny firm yao processes zao zipo vipi? kwa mfano akwambie procurement ao zipo vipi, banking zao zipo vipi, receivables zao zinaendaje, services zipi wazitoa etc! Lakini ukiuliza hapa na watu wakakupa hiyo michango sidhani kama itakusaidia sana!

Tatu wewe hata kama hiyo ID yako ni fake lakini hiyo web address yenu ni real so which clients kama huwa wanaingia hapa na wakikusikia unatapatapa hapa watapta impression kwamba nyie ni wababaishaji na itakuwa sababu kubwa ya kuingia mitini! Na ukiacha hao clients mlionao, sisi wengine hata kama tuna mahitaji ya software sidhani kama tunaweza kuwa na confidence ya kuwacontract nyie na CO yenu kutufanyia designing hiyo...simply tumeshawaona kama wababaishaji fulani!
 
Wasiliana na Tanganyika Law Society pale IPS building ghorofa ya 9 wanaweza kukusaidia kujua lini kuna kozi inayoweza kukusaidia. Hata hivyo tarehe 04.09.09 kuna kozi Mwanza on Strategic Human Resource Management in the Law Firm. Jaribu kwenda hiyo inaweza kukusaidia.
 
Kitu kingine ambacho mtoa swala hajakiweka wazi ni suala zima la clientelle gani anayoitafuta, je yuko wapi -Tanzania au ughaibuni, kama ughaibuni wapi?. Maana unaweza kumshauri aende kwenye hiyo event Mwanza kumbe yeye anataka kuwa software developer wa law firms za Washington DC. Na mimi naweza kumpa contacts za US zilizokuwa na strategies na needs za law firms za US wakati yeye anataka kufanya kazi hii Tanzania, mahitaji ya law firms zilizo sehemu tofauti yanaweza kuwa tofauti kabisa, ndiyo maana nikasema inabidi mtoa swala aongeze habari na kufanya utafiti zaidi.

Inabidi kuwasaidia watu waweze kukusaidia, mara nyingine ukiwapa mzigo wote wa kukutafutia info ni kama unawakimbiza.
 
Dilunga hapa kazungumza ukweli mtupu though unaweza kuwa unauma kwa upande wako bt ukiuchukulia kama changamoto nina uhakika utafanikiwa sana katika business yako mkubwa!

Pili, kama mchangiaji mmoja alivyosema hapo juu, kama mnalenga lakumtengenezea hiyo software a specified client kwa nini usikae na huyo client akakueleza wao kny firm yao processes zao zipo vipi? kwa mfano akwambie procurement ao zipo vipi, banking zao zipo vipi, receivables zao zinaendaje, services zipi wazitoa etc! Lakini ukiuliza hapa na watu wakakupa hiyo michango sidhani kama itakusaidia sana!

Tatu wewe hata kama hiyo ID yako ni fake lakini hiyo web address yenu ni real so which clients kama huwa wanaingia hapa na wakikusikia unatapatapa hapa watapta impression kwamba nyie ni wababaishaji na itakuwa sababu kubwa ya kuingia mitini! Na ukiacha hao clients mlionao, sisi wengine hata kama tuna mahitaji ya software sidhani kama tunaweza kuwa na confidence ya kuwacontract nyie na CO yenu kutufanyia designing hiyo...simply tumeshawaona kama wababaishaji fulani!

Hey guys, thanks for nice and useful comments. Inaonekana kwamba what I wrote here imekuwa miss understood kigodo. Ila naweza kufupisha hivi ili nieleweke vizuri:

First thing first, about the website hii has nothing to do whith what I posted here. Nimepost kitu personal na sio agenda ya company.

Pili, hii website si yangu. Kuna washkaji zangu walikua na timu kipindi fulani hapo nyuma, and I happened to work with them, and still work with them sometimes wakihitaji msaada wangu. Kuiweka kwenye signature yangu ni kuwapa shavu tu ka washkaji.

Thanks kwamba you saw those glitches ambazo mi sikuwahi kutoa macho kwenye hiyo site kiasi hicho na kuziona.

Tatu, kama nilivyosema what I posted here ni personal. I work with QVC Company Ltd that provides a range of mobile solutions hapa tanzania.

Nilichofikiri now ni kujenga wazo la kuwa na product ambayo inaweza kufaa industry tofauti za hapa kwetu. Moja za industry ambazo nilikua nimefikiri ni Legal Industry.

So, siyo kwamba I have a client, au I have a product to market to clients... nadhani hapa ndo nimeeleweka tofauti kidogo. I need someone to work together, to build something from scratch that we could market to Legal companies, or any other industry.

What I have is just technology. I need someone to come up with ideas from different industries to make use to that technology. Of the industries I thought ni law firms. But we have another team working on education industry at the moment.

As you can imagine, you can't develop ideas about the industry you know nothing of. I need to partner with someone and develop ideas together, probably form company together.

Sorry if my post was misleading wazee.

So, kama you have ideas ya jambo tunaloweza kufanya pamoja as a team, let's work together and change the country wakuu.

Cheerz
 
Kitendo cha kujiuza kama mtengeneza website na software halafu website lenu liko down ni skandali!

Unaweza kuwa unaua biashara badala ya kuijenga, hususan kwa jinsi unavyo ongea ongea.

Halafu kampuni yako inajiuza kama ni ya kutengeneza customized software kwa mteja, sasa kwa nini usiwasiliane na huyo mteja, kama alivyosema mchangiaji TheWomanofSubstance?

Kama umepata mteja halafu akaona unakuja kupiga yowe JF atakimbia, na atashauri jamaa zake wacheze mbali!

Pia, rekebisha haya makosa madogo kwenye matangazo yako, yanaweza kuhukumu uwezo wa Acrovinet:

Ni dhambi kwa mtengeneza software kutojua kwamba hakuna neno softwares, na ni kosa la jinai kwa anaeuza custom tailored services kukosea neno custom! Katika masoko ya nchi nyingine, wangehukumu biashara yako kwa hilo tu. Na sasa Wakenya wanakuja kushindana kwetu, tunaambiwa wao kwao himaya ya Malkia ilikaa sana, wanajua "yai" la kuandika. Othiong'o labda asingeweza ku eff up biashara yake kwenye website yake hivyo.

Nasoma "Village Voice" la wiki hii hapa, kuna mtu katoa review ya seafood restaurants, basi kakosea kui spell tu hiyo restaurant walivyommaliza utamuonea huruma, wanakwambia kama mtu kashindwa kuspell right jina la restaurant ataaminiwa vipi kuhusu the intricacies of the delicacies offered there?

Ndiyo haya mambo ya softwares na custome!

Kama hamna staff ajirini jamani, namini kuna watu hizi ni kazi zao watawasaidia vizuri tu.
 
Blueray,

Huyu jamaa umesikia alivyojitetea? Kadai kwamba hiyo website yeye madudu hajaisoma, sio yake, ni ya rafiki yake ila yeye anaibeba kama kumpa mshikaji "shavu" tu. So, unatutangazia kitu ambacho wewe mwenyewe hujakisoma? Either you are nutty, au mwongo! Kweli utatangaza website ya mwingine wakati wewe una kampuni ya IT, website yako wewe iko wapi? Kuua soo, anaji distance na skandali wakati site kaiweka kwenye signature yake all the time kama tattoo. Please!
 
Waswahili bwana-sijui lini tutabadilika! Baada ya kumjibu na kumsaidia ni KUMSHAMBULIA KU SHUMBULIA NA KUMSHAMBULIA TU!WHAT A PITTY!
 
Bora useme wewe mkuu, nikisema mimi watasema najitetea
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom