Nani ambaye ni mzalendo wa kweli anaeweza kutuongoza watanzania?

Jumanho

Member
Sep 14, 2010
37
5
Huwa nakaa na kujiuliza ni nani ambaye ana uzalendo na uchungu wa kweli wa hii nchi ili tumkabidhi atuongoze? Wanajamii naomba muongozo wenu bila kuangalia itikadi za kisiasa. Maana mimi kwasasa bado sijamuona huyo mtu nahisi wote ni walewale tu
 
Ongea vizuri na huyu....
Jenerali-Davis-Adolf-Mwamunyange.jpg
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom