tanira1
JF-Expert Member
- Nov 18, 2011
- 942
- 159
edhahifu saaanaBora vilaza,hao ni mazombi.,unaunga bajet mkono uku unalia jimbo lako limesahaulika..CCM MTINDIO
edhahifu saaanaBora vilaza,hao ni mazombi.,unaunga bajet mkono uku unalia jimbo lako limesahaulika..CCM MTINDIO
HAhahahaah hao ndo CCM kuna mbunge mmoja jana wa Kigoma alianza kwa kuunga mkono budget kwa 200% akaanza kulia lia oooh Kigoma imesahaulika, akatoa takwimu za pesa kidogo za kiwanja cha ndege Kigoma, kulinganisha na Songwe, Arusha, KIA, Mwanza na malalamiko mengi sana na kuishia kusema hii budget haina tija wala maendeleo akamalizia na kibwagizo anaunga mkono kwa 200%
NB
Kama taifa nadhani tuna wajinga wengi sana bungeni na viongozi wetu wengi ni vilaza
wamerogwa hao ccm
wamerogwa hao ccm
Mnyika pekee ndiye aliyegungua hilo, akaainisha vitu vitatu ambavyo ni Udhaifu wa Rais, Uzembe wa Bunge na Upuuzi wa CCM. lakini wale wanaojiona kuwa wana akili kubwa, kumbe hawaelewi wakamzuia asiwawafanulie maana yake. kwa alieleta uzi huu naona ni mwendelezo wa mchango wa mheshimiwa J. Mnyika.
HAhahahaah hao ndo CCM kuna mbunge mmoja jana wa Kigoma alianza kwa kuunga mkono budget kwa 200% akaanza kulia lia oooh Kigoma imesahaulika, akatoa takwimu za pesa kidogo za kiwanja cha ndege Kigoma, kulinganisha na Songwe, Arusha, KIA, Mwanza na malalamiko mengi sana na kuishia kusema hii budget haina tija wala maendeleo akamalizia na kibwagizo anaunga mkono kwa 200%
NB
Kama taifa nadhani tuna wajinga wengi sana bungeni na viongozi wetu wengi ni vilaza
CCM ni dhaifu na kuthibitisha hilo sikiliza wanachoongea na wanachoomaniisha haviendani.Naunga mkono asilimia mia,natoa kasoro mpaka basi???????hawa watu nina nawasiwasi sana na uelewa wao,labda hawajui kiswahili au hawajui hesabu za asilimia au vyote viwili.Ipo haja ya kuweka common understand kwamba unaposema asilimia mia unamaanisha nn kabla hawajaanza kuchangia,kwani hawa vilaza huenda walichokuwa wanaongea sicho walichomaanisha na hivyo kupitisha bajeti dhaifu kama.....
kuna jamaa nimeona amevaa tshirt kama hii hapa mlimani city daaa nimecheka sana, ninyeupe imeandikwa neno dhaifu!
Kwanini wasishukuru mr dhaifu katoa waziri mmoja kutoka gombe huoni Hilo ni la kujivunia?
Mkuu naona unanitafutia ban tena huwa situmii jina Hilo tena huwa napendelea Mzee wa poriMkuu Gombe ni jimbo gani la uchaguzi hilo?
Aliyetengeneza tshirt hii atuambie namba zake za simu ili wana m for c tuagize kwani ni ujumbe tosha. hivi karibuni nina sherehe ya rafiki yangu ana send off, sio mbaya wanakamati tukiwa na tshirt hizi kama sare ya send off. itapendezaje?