Nani alishapata mwenza humu jf?

Nimepata waifu humu humu na nikitaka ule mchezo basi nakuwa naomba kijeiefu jeiefu, namwambia .........."Honey unaonaje tukaanzisha sredi?" na yeye kama kachoka ananijibu "Honey PAW kaniban leo siwezi kuanzisha sredi", tunalala zetu
 
hahahahaha! Akili zako hazina akili. Lol
 
Nipe maujanja zaidi coz hata mimi inabidi nitafute graat thinker mwenzangu ,sio mtu ukimdanganya ankubali tu hata kama swala lipo wazi ...
mimi nimepata na ndio mume wangu mtarajiwa......
kama na wewe ulikuwa unahitaji mwaga CV...... mwenyewe utaniambia.......
 
Nimepata waifu humu humu na nikitaka ule mchezo basi nakuwa naomba kijeiefu jeiefu, namwambia .........."Honey unaonaje tukaanzisha sredi?" na yeye kama kachoka ananijibu "Honey PAW kaniban leo siwezi kuanzisha sredi", tunalala zetu

hapo mnakuwa tayari mme login.
 
Nimepata waifu humu humu na nikitaka ule mchezo basi nakuwa naomba kijeiefu jeiefu, namwambia .........."Honey unaonaje tukaanzisha sredi?" na yeye kama kachoka ananijibu "Honey PAW kaniban leo siwezi kuanzisha sredi", tunalala zetu

kwanza mnaanza kwa login.
 
Mapenzi ya karne ya 21. Hapo ni kutinduana tu, hakuna mwenza wala nini! Mwenza mwema hapatikani kwenye keyboard.
 
Mh! Siamini kama jf umewaunganisha watu na kuwafanya mwili mmoja coz is invisible

Mbona hiii ndio nzuri ... unafuatia post zaketu ...kwa karibu kabisa... kumbuka unapata mawazo na moyo wake ... yaani the inner value zake zoooote.. ukitaka ... unazipata kirahisi kuliko hata mkikutana kwanza.... leta post 100 za mtu unayemta tukufanyie analysis ... you wont regret!! Lol
 
Back
Top Bottom