Nani alimuua Samora Machel?

Familia yake inapaswa kuilazimisha serikali ya SA kujua ukweli kwa SA kutoa taarifa kamili dhidi ya kifo cha baba yao.
NB: japo mama Machel kuolewa huko kunaweza kuwa kikwazo tena, ukichanganya na siasa za SADC za kuoneana aibu.
 
Wanajua ukweli.

kama unakumbuka ya Sokoine aliuawa na baada ya kufa, sanamu zilisimikwa na kitabu cha Sokoine kueleza maisha yake kilivumbuliwa. same na Samora Macheli nae baada ya kuuwa sanamu yake ilisimikwa, na kitabu kuvumbuliwa but utata mkubwa umetanda mpaka leo ni nani waliusika na vifo vyao.

Kwa wale watu wa zamani or wafuatiliaji wa inshu hizi wanatambua kua mrithi wa Edward Mondulane hakua Samora Macheli bali alitakiawa awe Uria Simango ambaye alikua mmoja wa waanzilishi wa Frelimo. Uria Simango aliuawa pamoja na mwenzake Paul Gumane huko maeneo ya Nachingwea I think coz last time alionekana wakiwa kizimbani wamezungukwa na watu huku wakuu wa inshu Samora masheli na mwenzake Marcelino dos santos, marcelino dos santos kwenye kumbukumbu alikua akifundisha Chuo kikuu dar es salaam. samora alikua chaguo la nyerere na sio Uria simango nabaada ya hapo ndio Uria simango alikimbilia egypt , yeye na mwenziye walianzisha movement yao COREMO. walipodakwa ndio jamaa wakawaua.

Niweke mambo short tu.
Makaburu hawakua na inshu na Samora kipindi anukufa na walikua hawana sababu za kumuuua hasa ndio maana hata yeye alikua akiwa free kutumia airspace ya makaburu. According to Dr Salim Ahmed Salim, interview yake kuhusu mahusiano ya liberation movements na nnchi za scandnavia "anadai kua, wakati wakienda mkutanoni Botswana iliwalazimu luikweopa sana airspace ya makaburu kwa kuofia kutunguliwa....so why Samora masheli hakuogopa hilo?

simple ni kua, Samora muda ule alikua amesaini mkataba na Makaburu "nkomathi accord" moja ya makubaliano yalikua ni kuakikisha wapiganaji wote walioko mozambique wanaopinga makaburu kuondoka or kuendolewa kwa nguvu. Hii ilisababisha most of those walikua Tanzania toka south africa known as "umngwenya" kuamua kusettle kabisa Tanzania na kwakiasi kikubwa ilikua morale ya watu hasa wa south africa coz wote walirudi Tanzania inlcuding the now SA president Jacob Zuma. Mkataba ule ulikua na manufaa sana kwa makaburu na haukua na manufaa yeyote kwa nch na wapiganaji walionuia kuwatoa makaburu.

Hapa ndio Nyerere na wwenzake wa ANC na PAC walipanga kumtoa Samora Machel na walimtoa. Makaburu hawakua na sababu ya kumtoa Samora mtu aliesain mkataba mzuri kwa manufaa yao. ndio maana baada ya kuuawa Samora, Chisano ndio alichukua na si kwauchaguzi bali matakwa ya Nyerere na ndiio ilikua mwisho wa "nkomathi accord" wapiganaji wa ANC, PAC, Zimbabwe, Tanzania walirudi tena Mozambique na makaburu ikabidi nawao waandele inshu na Renamo.

So waweza ona kifo cha Samora kiliwaathiri sana Makaburu kwakua "nkomathi accord" ulikufa na Samora so wasinge muua bali Mchonga na wenzie ndio walikua MAPLANA wa Enzi hizo. RIP M J K Nyerere.
 
Eeh ..hii NONDO
 
Naheshimu mtazamo wako. Binafsi, nadhani alipokubali kuweka sahihi Mkataba wa Nkomati Hayati Samora alionyesha udhaifu mkubwa kwa adui zake. Kifupi walimzunguka. Yeye aliwafukuza ANC na hakuwaruhusu washambulie tokea nchini kwake. Mkataba wenyewe uliitwa non aggression pact Kati ya SA na Mozambique. Yeye akiwafukuza ANC, Kaburu akaongeza juhudi kwa RENAMO ambao ukawa ni usaliti kwa mkataba wa Nkomati. Mkataba ukavunjika na Makaburu nadhani wakaamua wamwondoshe Plan B yao.

Ni vigumu kumdhania Mwalimu anaweza kujihusisha na hizo "njama" . Kama kulikuwa na usaliti ni ndani ya wao kwa wao. Wala sio nje. Rejea makubaliano aliyofanya Gadhafi na " maadui" juu ya silaha za maangamizi. wakapata mwanya na ndipo wakammaliza. Na hii sababu aliisema sana baba yake Mtawala wa sasa wa Korea Kaskazini pale Saadam alipomalizwa. " Saadam amekufa kwa sababu ameruhusu wakaguzi wa kimataifa waingie nchini kwake.
 
Ingawa umenikuote vibaya na kwajina la mtu mwingine but nimekusoma.

All in all ni kua, wakati wa utawala wa Mwalimu mambo mengi yalikua ni kwa usiri mkubwa sana, kuliku na military coups kadhaa but nyingi ziliwekwa kwapani na pia kulikua na mapigano or mfarakano/kutoelewana kwa makundi ya wapiganaji wao kwa wao or ushindani kati ya ANC/PAC pia ZANU/ZAPU.

Ukumbuke tu, Nyerere as well as Ronald Regan were chanzo cha Chunya massacre, watu wengi hawajui hili, na mambo mengi sana nnchi hii imefanya huko nyuma sio watanzania tu but waafrica kwa ujumla.

Chunya massacre na kuhusika moja kwa moja kwa Nyerere na Ronald Regan.
Chunya, Mbeya once saved as the Military base of APLA " Azania People Liberation Army, it was as well known as Poqo, a military wing of PAC "Pan African Congress of Azania" a South African political party based in Tanzania. PAC was under the chairmanship of Robert Sobukwe before his arrest, the chairmanship of PAC was taken over by Potlako Lebalo na mkuu wake wa majeshi then was Tlempton Dandala, ambaye alitaka kumpindua back then but mapindizi hayo yalizimwa dar es salaam na usalama wa Taifa.

Baada ya muda, policy za PAC hazikua nzuri hii ilisababisha kukosa udhamini hivyo change ya leadership was lazima na Nyerere, the king-maker na mwenzie Ronald Regan walimtaka DAVID SIBEKO another South African intellect kuchukua mikoba ya Potlako Lebalo. they staged a coup wakati Lebalo akiwa Uingereza. Things went very wrong wakati the APLA commander Vusi Umuzi Make and his asst. Elias Ntoeledibe walipomwendea Sibeko Oysterbay, Dar es salaam, baada ya mabishano Sibeko alitwangwa risasi kadhaa akafa but PAC military wing iligawanyika into two teams, team Sibeko and Team Lebalo ndani ya Chunya mbeya na mapigani ya silaha za moto yalianza, watu zaidi ya 40+ walikufa but mpaka leo hakuna taarifa ya ukweli juu ya idadi kamili ya watu waliokufa. Ilibidi JTWZ liingilie kutuliza team zote na watu kibao walikufa, then waliwekwa kizuizini. Hili nalo wako kimya.

Nyerere, mzee wa venture. RIP!
 
ANC na wengine walitimuliwa mapema tu mwanzoni mwa nkomathi accord, na pia hapa ndio kulikua na tishio kubwa ya makaburu kushambulia camp za ANC Mazimbu kwa ndege za kivita, it was then ndani ya Mazimbu walichimba maandaki makubwa. Nenda kaandalie, was there during my studies in Morogoro, at St Francis de sales.
 
Ingawa umenikuote vibaya na kwajina la mtu mwingine but nimekusoma.

All in all ni kua, wakati wa utawala wa Mwalimu mambo mengi yalikua ni kwa usiri mkubwa sana, kuliku na military coups kadhaa but nyingi ziliwekwa kwapani na pia kulikua na mapigano or mfarakano/kutoelewana kwa makundi ya wapiganaji wao kwa wao or ushindani kati ya ANC/PAC pia ZANU/ZAPU.

Ukumbuke tu, Nyerere as well as Ronald Regan were chanzo cha Chunya massacre, watu wengi hawajui hili, na mambo mengi sana nnchi hii imefanya huko nyuma sio watanzania tu but waafrica kwa ujumla.

Chunya massacre na kuhusika moja kwa moja kwa Nyerere na Ronald Regan.
Chunya, Mbeya once saved as the Military base of APLA " Azania People Liberation Army, it was as well known as Poqo, a military wing of PAC "Pan African Congress of Azania" a South African political party based in Tanzania. PAC was under the chairmanship of Robert Sobukwe before his arrest, the chairmanship of PAC was taken over by Potlako Lebalo na mkuu wake wa majeshi then was Tlempton Dandala, ambaye alitaka kumpindua back then but mapindizi hayo yalizimwa dar es salaam na usalama wa Taifa.

Baada ya muda, policy za PAC hazikua nzuri hii ilisababisha kukosa udhamini hivyo change ya leadership was lazima na Nyerere, the king-maker na mwenzie Ronald Regan walimtaka DAVID SIBEKO another South African intellect kuchukua mikoba ya Potlako Lebalo. they staged a coup wakati Lebalo akiwa Uingereza. Things went very wrong wakati the APLA commander Vusi Umuzi Make and his asst. Elias Ntoeledibe walipomwendea Sibeko Oysterbay, Dar es salaam, baada ya mabishano Sibeko alitwangwa risasi kadhaa akafa but PAC military wing iligawanyika into two teams, team Sibeko and Team Lebalo ndani ya Chunya mbeya na mapigani ya silaha za moto yalianza, watu zaidi ya 40+ walikufa but mpaka leo hakuna taarifa ya ukweli juu ya idadi kamili ya watu waliokufa. Ilibidi JTWZ liingilie kutuliza team zote na watu kibao walikufa, then waliwekwa kizuizini. Hili nalo wako kimya.

Nyerere, mzee wa venture. RIP!
Mkuu haya unayoyasema sio unagusa maslahi ya watu ama kuvunja sheria fulani fulani hivi ? Haya ndio nayasikia kutoka kwako leo nikupe hongera kwa hilo .
Swali langu ni hao waliofanya haya siri kwanini walifanya hivyo ? Unafikiria ni bahati mbaya tu ?

Una mawazo mazuri ila basi jitahidi kuyaweka kwenye Lugha moja utatusaidia tuliokimbia umande
 
Mwana haya na mambo mwengi sana kipindi kile yalikua yamefunikwa vibaya. Pia kuna inshu ya Chma kimoja cha siasa cha kusini mwa africa waluifarakana wenyewe kwa wenyewe the wakauana kwa mamia then wakazikwa kwenye uwanja wa basketball, sina uhakika ni kipi has ANC or ZANUna ZAPU. But back then Umafia ulikua mkubwa mno na Tanzania ndio ilikua kinara kwenye nyanja hizo kiasi cha kuogopwa na mataifa mengi mno.

Kufuatana na muandishi wa nation wa Kenya "Onyango Obbo" anakiri ya kua moja ya maswala ya sisi kudidimizwa kuichumi ilitokana na hili ambalo yeye ameliita "overly exposure" yaani Tanzania ilionekana kama Mtoto machinoo na hatari ambaye anatakiwa atulizwe. Pia Onyango Obbo adai kua, Tanzania ilikua na Nguvu ya Kidiplomasia ambayo nnchi za Africa kwa sasa zina dream tu kuwa jinsi Tanzania ilivyokua miaka hiyo kwenye nyanja za Diplomasia.

Nyerere, the kingmaker RIP.
 
Sawa mwana ,inaelekea unajua mambo mengi andika basi hata kitabu ili mawazo haya yarithishwe kwa kizazi kijacho
 
Ingawa umenikuote vibaya na kwajina la mtu mwingine but nimekusoma.

All in all ni kua, wakati wa utawala wa Mwalimu mambo mengi yalikua ni kwa usiri mkubwa sana, kuliku na military coups kadhaa but nyingi ziliwekwa kwapani na pia kulikua na mapigano or mfarakano/kutoelewana kwa makundi ya wapiganaji wao kwa wao or ushindani kati ya ANC/PAC pia ZANU/ZAPU.

Ukumbuke tu, Nyerere as well as Ronald Regan were chanzo cha Chunya massacre, watu wengi hawajui hili, na mambo mengi sana nnchi hii imefanya huko nyuma sio watanzania tu but waafrica kwa ujumla.

Chunya massacre na kuhusika moja kwa moja kwa Nyerere na Ronald Regan.
Chunya, Mbeya once saved as the Military base of APLA " Azania People Liberation Army, it was as well known as Poqo, a military wing of PAC "Pan African Congress of Azania" a South African political party based in Tanzania. PAC was under the chairmanship of Robert Sobukwe before his arrest, the chairmanship of PAC was taken over by Potlako Lebalo na mkuu wake wa majeshi then was Tlempton Dandala, ambaye alitaka kumpindua back then but mapindizi hayo yalizimwa dar es salaam na usalama wa Taifa.

Baada ya muda, policy za PAC hazikua nzuri hii ilisababisha kukosa udhamini hivyo change ya leadership was lazima na Nyerere, the king-maker na mwenzie Ronald Regan walimtaka DAVID SIBEKO another South African intellect kuchukua mikoba ya Potlako Lebalo. they staged a coup wakati Lebalo akiwa Uingereza. Things went very wrong wakati the APLA commander Vusi Umuzi Make and his asst. Elias Ntoeledibe walipomwendea Sibeko Oysterbay, Dar es salaam, baada ya mabishano Sibeko alitwangwa risasi kadhaa akafa but PAC military wing iligawanyika into two teams, team Sibeko and Team Lebalo ndani ya Chunya mbeya na mapigani ya silaha za moto yalianza, watu zaidi ya 40+ walikufa but mpaka leo hakuna taarifa ya ukweli juu ya idadi kamili ya watu waliokufa. Ilibidi JTWZ liingilie kutuliza team zote na watu kibao walikufa, then waliwekwa kizuizini. Hili nalo wako kimya.

Nyerere, mzee wa venture. RIP!
Mkuu hebu nifafanulie vizuri uhusika wa Nyerere kwenye kifo cha Samora; Nyerere katoka madarakani mwaka 1985 na Samora aliuawa mwaka 1986 kipindi ambacho mwalimu wala hakua na mamlaka na majeshi yetu tena isipokua mzee ruksa; ufafanuzi please.
 
Angalua vyema jinsi gani Jacob Zuma alivyo ukwaa umwenyekiti wa ANC baada ya kumshinda Thambo Mbeki kwenye uchaguzi wa ANC in Mangaung. Mwenyekiti alikua Zuma na
Rais wa nchi alikua Mbeki, kilichofuata ni Zuma kumrecall Mbeki ajiuzulu kwakua mwenye nguvu ni Mwenyekiti wa chama ambacho Mbeki alishinda urais akiwa kama mgombea wa ANC.

turudi Tanzania.
Tanzania nayo ndio hivyo hivyo, Nyerere alijiuzulu urais but alibaki kama mwenyekiti wa CCM, akiwa na nguvu zaidi ya Mwinyi.

Pia miaka ile tulikua chini ya chama kimoja CCM na wananchi wote tulikua CCM pamoja na majeshi yote, wote tulikua wanachama wa CCM tukidumisha fikra za mwenyekiti.

sheria alibadilishwa baada wakati twaingia kwenye vyama vingi, hivyo vyombo vyote vya ulinzi vilizuiwa kikatiba kujiusisha na siasa na kupiga kura kama ilivyo kua kipindi cha chama kimoja.

nataraji umenipata vyema.
 
Nimekupata mkuu!
 
Similar Discussions

10 Reactions
Reply
Back
Top Bottom