Binti Magufuli
JF-Expert Member
- Apr 2, 2011
- 7,484
- 5,142
Mzee hii unapotosha...!
Mhh umegundua eeh, wabongo kwa story za kwenye kahawa ndio wenyewe
Mzee hii unapotosha...!
Nijuavyo Sir George alipewa cheo cha Sir.na malkia kwa kukariri dictionary kuanzia A-Z na maana yake(Oxford Dictionary),mzee anajua kimombo vizuri sana.
Mzee hii unapotosha...!
Wakuu hivi nani mwenye idhini ya kutunuku U-Sir??Je ninani alimpa George Kahama??na kwa sababu gani??alifanya nini??
Mkuu hii tittle ya Sir alipewa na Malkia wa uingereza kwa kuwa mwafrika wa kwanza kuingia kwenye bunge la mkoloni mwaka 1958 akiwa kama mbunge wa Legico jimbo la Karagwe jimbo la ziwa magharibi na mwaka 1959 aliteuliwa kuwa waziri wa starehe na maendeleo kwenye serikali ya muda kabla ya uhuru wa Tanganyika! Alisoma shule ya Tabora then chuo cha Loughborough Uingereza! He is the only and only real Sir by little in Tanzania if not Africa just like Sir Alex and Bobby Robson and all real ones u know! Sio A.k.a ni real tittle ni mmoja wa unvalued treasures

tatizo nilikuwa naifananisha na ile ya juma nature bwana..
Ungemalizia kwa kutueleza alilifanyia nini jimbo lake la Karagwe na taifa kwa ujumla kwa miaka hiyo aliyokuwa serikalini (1958- 2000's). Watu wa Karagwe watamkumbuka kwa lipi?
- Kwamba alipewa title ya u-Sir na Malkia!
- Kwamba alikuwa ni miongoni mwa mawaziri wa kwanza wa nchi hii!!
- Kwamba alikuwa ni miongoni mwa waafrika wa kwanza kuingia kwenye bunge la mkoloni!!
- Kwamba alikuwa ni miongoni mwa waafrika wa kwanza kusoma Uingereza!!
Vyeo vingine havina maana kama haviwezi kuonesha matokeo ya moja kwa moja. Nadhani wanaotokea huko wataendeleza zaidi ya hapo. Mfano wakati mwingene huitaji kujitambulisha kwa watu kuwa wewe ni msomi, Prof, Dr, Eng na kadhalika. Ila watu watakugundua na kuwaeleza watu wengine kwasababu ya kile wanachokiona kwako either mawazo na hata matendo. Nani anastahili kupewa title ya u-Sir